Njoo kwetu nikuonyeshe ndugu yangu mmoja ana miaka 21 yupo chuo mwaka wa 3 ni Sanchi mtupu! Chini shepu sinia juu tumbo kijiko hakuna cha surgery wala nini.sio kweli.
picha za ig zinawadanganya sana mabinti,
wale watu wanafanya cosmetic surgery wanakuwa makatuni.
njoo kila jumamos utaona kila rangi mkuu, wachina wamo,, wahindi wamoo, ila wabongo kama ulivyosema zile taight mpaka kitumbua unakiona kabisa, kama una roho ndogo utapata shida sana.Basi coco beach ndo pa kwenda
Nipo tayari kuweka dau juu ya huyo ndugu yako kuwa mnene.Njoo kwetu nikuonyeshe ndugu yangu mmoja ana miaka 21 yupo chuo mwaka wa 3 ni Sanchi mtupu! Chini shepu sinia juu tumbo kijiko hakuna cha surgery wala nini.
Kuna wanawake wana mishepu mikubwa halafu vitumbo vidogo usikariri kila kitu ni surgery.
Mungu sio Juma wala John anajua kuumba wewe..!
Ni mnene chini juu hana tumbo kama Sanchi.Nipo tayari kuweka dau juu ya huyo ndugu yako kuwa mnene.
Hebu njoo PM unipe namba yake nimejitolea kumlea maisha yake yoteNjoo kwetu nikuonyeshe ndugu yangu mmoja ana miaka 21 yupo chuo mwaka wa 3 ni Sanchi mtupu! Chini shepu sinia juu tumbo kijiko hakuna cha surgery wala nini.
Kuna wanawake wana mishepu mikubwa halafu vitumbo vidogo usikariri kila kitu ni surgery.
Mungu sio Juma wala John anajua kuumba wewe..!
Ntakuwa hapo mkuunjoo kila jumamos utaona kila rangi mkuu, wachina wamo,, wahindi wamoo, ila wabongo kama ulivyosema zile taight mpaka kitumbua unakiona kabisa, kama una roho ndogo utapata shida sana.
kumbuka wengine wanajiuza humo humo kupitia mazoezi jihadhari sana
kutokuwa na tumbo kubwa sio kesi!!Ni mnene chini juu hana tumbo kama Sanchi.
Nenda kasimame geti la UDSM ukimuona binti mwenye hizi sifa na ana kipini puani ujue ndio yeye.Hebu njoo PM unipe namba yake nimejitolea kumlea maisha yake yote
ukienda Kokobichi utawakuta wenye mabaibui wengine kininja kabisa na wanafukuza upepo balaaNiwashauli tu nyie wanawake ambao mpo jogging fanyeni mazoezi huku mmevaa Baibui, Kanga au Madera apo kidgo itapunguza matamanio. Maana sio poah unakutana na Mnyash mpaka una data kubaabaake.
Nishawahi kuona wanawake wenye mabawa😂 nashukuru Mungu sina aisee💔kutokuwa na tumbo kubwa sio kesi!!
utakuta ana nyama mikononi(mabawa)
je, body fat yake ni asilimia ngapi
uzuri macho yana uwezo wa asili wa kupima uwiano wa mwili na kugundua unene.
mabawa?? ulipigamo kapichaNishawahi kuona wanawake wenye mabawa😂 nashukuru Mungu sina aisee💔
Mama mpare baba mngoni unategemea sura ya baba hapo?Sura ipo au ndo umbo lipo ila sura ya baba au kamanda Mruto😅😂
Mvae vile vya ccmTutakimbia na Vitenge usijali 😜
Maisha yangu ya shule yote was a lie kumbe tako ni "Utapiamlo" ... Yaani kama nchi bado tuna safari ndefu sana. Nifocus na katiba mpya tu.😂😂😂wapunguze hayo maumbile watapata magonjwa ya moyo
halafu africa sijui vipi eti tunasifia utapiamlo