Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Hali bado sio nzuri kwetu wanaume kama bado wanawake mtaendelea na msimamo wenu ule ule kuangalia mwanamme una nini au unafanya kazi gani naona mwisho wenu utakuwa mbaya zaidi.
Mmevunja mahusiano mengi kwa dharau zenu na viburi sababu kuu ni mwanaume hana kipato unachotaka mmetuacha na maumivu makali sana kwa sababu mnataka mambo makubwa na mtelemko.
Wapo wengine waliovunja mahusiano sababu wanaamini ukimvumilia mwaname ambaye bado anatafuta akija kupata atakudharau hii dhana itaendelea kuwakost wanawake mtaishia pabaya ndo nyinyi tunakuja kuwaona makanisani mnaombewa ili kupata mume mwema.
Acheni tabia hii ya kuchagua wanaume wewe mwanamke ndo inabidi mpatie support mchumba wake Aje kuwa mume bora au baba bora kiuchumi usisubiri mtu kajiangaikia na maisha kaja kufanikiwa tena kama ni mume wa mtu wewe ndo ujilete dada utaishia kuwa single mother.