jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Kwani Jamaa kaishiwa ndiyo maana umeamua kusepa!?Niliolewa dia...yamenishinda nimeona nirudi tu kwa wewe pasua kichwa wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Jamaa kaishiwa ndiyo maana umeamua kusepa!?Niliolewa dia...yamenishinda nimeona nirudi tu kwa wewe pasua kichwa wangu
Pesa kwenye Mapenzi inaanzia ngapi!?Pesa imekuwa kama mafuta kwenye mapenzi
huna mafuta huli mboga
Tutumie pesa vizuri
NdioKwani Jamaa kaishiwa ndiyo maana umeamua kusepa!?
Basi itakua wwe ndiyo umemfilisi!!Ndio
Ni kweliBasi itakua wwe ndiyo umemfilisi!!
Ndiyo maana Wanaume tunakufa mapema,mnatumaliza mazima!!Ni kweli
Ndiyo maana Wanaume tunakufa mapema,mnatumaliza mazima!!Ni kweli
wewe tu kulingana na ubora wa mapenzi yenyewe utakayopataPesa kwenye Mapenzi inaanzia ngapi!?
Ebu mtoe haraka Khantwe mtoto mzuri kwenye hiyo list, kama unamuhusisha na Ke wa kiswazi niko hapa mdogo wako kukunaibu hiyo nafasi mara 1[emoji12][emoji847]Yeah ila hili kwa kibongo bongo ndio wanawake hawataki kusikia! Yani kuvumiliana na njaa na msoto wanachaguaga njia nyepesi tu! Kudanga kwa wenye hela tu kwa wakati huo
Kweli wanawake wanatukosea sana kwa kupenda pesa...but na sisi tukizipataga hizo pesa mmmh..ngoja niishie hapaHali bado sio nzuri kwetu wanaume kama bado wanawake mtaendelea na msimamo wenu ule ule kuangalia mwanamme una nini au unafanya kazi gani naona mwisho wenu utakuwa mbaya zaidi.
Mmevunja mahusiano mengi kwa dharau zenu na viburi sababu kuu ni mwanaume hana kipato unachotaka mmetuacha na maumivu makali sana kwa sababu mnataka mambo makubwa na mtelemko.
Wapo wengine waliovunja mahusiano sababu wanaamini ukimvumilia mwaname ambaye bado anatafuta akija kupata atakudharau hii dhana itaendelea kuwakost wanawake mtaishia pabaya ndo nyinyi tunakuja kuwaona makanisani mnaombewa ili kupata mume mwema.
Acheni tabia hii ya kuchagua wanaume wewe mwanamke ndo inabidi mpatie support mchumba wake Aje kuwa mume bora au baba bora kiuchumi usisubiri mtu kajiangaikia na maisha kaja kufanikiwa tena kama ni mume wa mtu wewe ndo ujilete dada utaishia kuwa single mother.
Bora umesema ukweli, hali ndivyo ilivyo.Ila braza napo tuongee ukweli wanaume wengi tukishapataga mihela wale waliotuvumilia tunawachukulia poh tunaanza kusak zile high class mbususu.
So wacha watupige mizinga tuu cha msingi tutafute ndalama tusasambue mbususu zao.
Mbususu nazo ukiziendekeza sana unakufa Mapema sana!!Ila braza napo tuongee ukweli wanaume wengi tukishapataga mihela wale waliotuvumilia tunawachukulia poh tunaanza kusak zile high class mbususu.
So wacha watupige mizinga tuu cha msingi tutafute ndalama tusasambue mbususu zao.
You are rightNdiyo maana Wanaume tunakufa mapema,mnatumaliza mazima!!
Unakufaje mapema wewe? Mbususu inapunguza stress hivyo unaishi longerMbususu nazo ukiziendekeza sana unakufa Mapema sana!!
Sina hata mia, ndio bado nazitafuta nakaa kwa shemejiWwe lazima utakua huna pesa!! Mawazo ya kimasikini haya!!
Aangalia Sasa usije ukaliwa na Shemeji yako kwa kupenda kwako Mtonyo kwa sana!!Sina hata mia, ndio bado nazitafuta nakaa kwa shemeji