Wanawake mnaoangalia pesa mnatutesa sana wanaume. Mtalaaniwa

Pesa imekuwa kama mafuta kwenye mapenzi
huna mafuta huli mboga
Tutumie pesa vizuri
 
Watu wanamchukulia Obama kama hero wakati USA huwezi kosa kazi ya kujikimu kula,kulipa kodi na savings uwe umesoma au la pia hamna kulipa ada za watoto shule. Kule ukila na kulala kwa shemeji yako jua umependa mwenyewe tu.
Umeeleweka mkuu.

Somo la kuchukua hapo ni kuliunganisha na maudhui ya huu uzi. Kwamba wakati Obama na Michelle wako katika hali hiyo walipeana support na kuvumiliana. Walihakikisha wanatimiza ndoto zao pamoja.

Tofauti na ile mtu anataka ready-made husband /wife. Kitu ambacho sio rahisi kupata. Hao waliishi pamoja kuanzia hapo kwenye "ghetto" hadi Whitehouse. Mwanamke angekimbia mapema asingekuwa firstlady.. Na pia angekimbia inawezekana Obama asingekuwa Potus.

See potential in your partner, cover his/her weaknesses and unleash his/her potential towards your dreams/goals.
 
Hahaaaaa balaa na nusu yaani uende tu kula papuchi yake bure thubutuuuuuuuuuuuuu hata ingekuwa wewe usingekubali, kula na ku;lipa ndio mambo ya mjini Jombaa tafuta mkwanja mazee
 
Hali bado sio nzuri kwetu wanaume kama bado wanawake mtaendelea na msimamo wenu ule ule kuangalia mwanamme una nini au unafanya kazi gani naona mwisho wenu utakuwa mbaya zaidi.

Mmevunja mahusiano mengi kwa dharau zenu na viburi sababu kuu ni mwanaume hana kipato unachotaka mmetuacha na maumivu makali sana kwa sababu mnataka mambo makubwa na mtelemko.

Wapo wengine waliovunja mahusiano sababu wanaamini ukimvumilia mwaname ambaye bado anatafuta akija kupata atakudharau hii dhana itaendelea kuwakost wanawake mtaishia pabaya ndo nyinyi tunakuja kuwaona makanisani mnaombewa ili kupata mume mwema.

Acheni tabia hii ya kuchagua wanaume wewe mwanamke ndo inabidi mpatie support mchumba wake Aje kuwa mume bora au baba bora kiuchumi usisubiri mtu kajiangaikia na maisha kaja kufanikiwa tena kama ni mume wa mtu wewe ndo ujilete dada utaishia kuwa single mother.
Mwanamke mpenda pesa mm huwa nakula siku moja tu natoroka. Yaan siku nimeloweka mashine yangu ndo siku hataona simu yangu wala sms kuanzia jioni ya siku hiyo. Na hela inakata saa moja baada ya kummega. Ikiwezekana kama ana rafiki yake, mama yake nao namega vilevile
 
Na sisi tunatakaga siku moja tu bas,umpe nafasi mwanaume mwenzio...maana mambo ya kugandana na mpita njia unaweza beba mikosi ya maisha anayozurura nayo
 
Umeeleweka mkuu.

Somo la kuchukua hapo ni kuliunganisha na maudhui ya huu uzi. Kwamba wakati Obama na Michelle wako katika hali hiyo walipeana support na kuvumiliana. Walihakikisha wanatimiza ndoto zao pamoja.

Tofauti na ile mtu anataka ready-made husband /wife. Kitu ambacho sio rahisi kupata. Hao waliishi pamoja kuanzia hapo kwenye "ghetto" hadi Whitehouse. Mwanamke angekimbia mapema asingekuwa firstlady.. Na pia angekimbia inawezekana Obama asingekuwa Potus.

See potential in your partner, cover his/her weaknesses and unleash his/her potential towards your dreams/goals.
Yeah ila hili kwa kibongo bongo ndio wanawake hawataki kusikia! Yani kuvumiliana na njaa na msoto wanachaguaga njia nyepesi tu! Kudanga kwa wenye hela tu kwa wakati huo
 
Nani anachakaa hapo. Mwisho unakuwa n shimo kama korongo
Ikichakaa wapo pia wanaume wenye urijali wao wanaweza kuzitumia....hii kauli uliyotoa ni dhahiri huna maajabu(kinyanyachungu) au umesahau kuwa shimo la panya haingii Python
 
Yeah ila hili kwa kibongo bongo ndio wanawake hawataki kusikia! Yani kuvumiliana na njaa na msoto wanachaguaga njia nyepesi tu! Kudanga kwa wenye hela tu kwa wakati huo
Hii ni changamoto sana chief, na tunapata kizazi cha ajabu Sana wakati huu. Inahitajika awareness kubwa sana kwa hawa watu wa type hiyo.

But uzuri ni kwamba huwa wanajua ukweli, ila wakiwa katika mchanganyiko wa watu wengine wanaweka pride na kiburi Sana but deep down their are dying inside. Yani ni balaa tuendako maana depression na stress zitamaliza wengi.
 
Hii inajenga taswira kuwa mahusiano ni muungano wa kimaslahi kwa sasa! Sio tena muungano kwa ajili ya kutengeneza next generation of civilized people who stem from a family!

Thus why wanawake wengi wamekuwa wauza Ku.Ma nowdays! Ni zao la kutanguliza tamaa mbele
 
Huwa inashangaza Sana, ni sahihi mwanamke kutaka security kwa mwanaume financially. Wanapokosa Wana amua kudanga.. OK it's fine kwao na lifestyle waliyojichagulia.

The worst scenario ni pale wanapobeba ujauzito na kuleta watoto. Kama wao walikosa wanaume wa kuwaoa kwa sababu hawakupata wenye fedha, je watoto wao wanawaandalia maisha ya namna gani hapo baadae? Nao wataunga juhudi za udangaji? Wakiwa wa kiume itakuwaje?

Hii ndio ile presha anayokuwa nayo mzazi anaeishi peke yake na mwanae tu bila mzazi mwenzie. Ni hatari Sana kwa kweli huko tuendako
 
The Cycle continues mzee! Ukifuatilia hata the worst criminals wengi ni zao la single parenthood! Wanawake wadangaji wengi wamekosa self esteem sababu ya kulelewa na mzazi mmoja!
 
Tuchukulie kwasasa wewe ni mwanamke au ungezaliwa mwanamke ungependa huwe na mtu masikini au mwenye pesa.Acha kulialia kama ndama aliyepoteza mama yake cha msingi ni kusaka ngawila.
Hivi pesa ni kuanzia kiasi gani ndiyo tunaweza kusema huyo mtu ana pesa!?
 
Back
Top Bottom