Wanawake mnaoangalia pesa mnatutesa sana wanaume. Mtalaaniwa

Kupanga ni kuchagua sheikh...kwenye haya maisha kila mtu ana jambo analolipenda. Hata wewe hauchukui mwanamke yeyote tu maadam ana k ...uuna vigezo vyako mahsusi. Sasa kwa nini iwe nongwa mwanamke akiweka standard zake?
 
Ingekuwa tunapotongozana na vyombo vinakuwa nje wallah ndoa nyingi zingekuwa na aman.Tatizo tunaogopa naweza kukubali kuwa nawe ivoivo na umaskini wako afu kumbe na ndefu hujajaaliwa,ko ni bora tuangalie uchumi kwanza kama yaliyomo hayamo bas nitavumilia na si kukosa vyote
 
Mushedede muhimu au sio
 
Tuchukulie kwasasa wewe ni mwanamke au ungezaliwa mwanamke ungependa huwe na mtu masikini au mwenye pesa.Acha kulialia kama ndama aliyepoteza mama yake cha msingi ni kusaka ngawila.
 
Kupanga ni kuchagua sheikh...kwenye haya maisha kila mtu ana jambo analolipenda. Hata wewe hauchukui mwanamke yeyote tu maadam ana k ...uuna vigezo vyako mahsusi. Sasa kwa nini iwe nongwa mwanamke akiweka standard zake?
Mrembo ulipoteamo sana nimekumiss sana
 
Kwa akili hizi safari bado ni ndefu walahi🤓
 
Hii isiwe excuse ya kutokutafuta pesa. Ila upendo uongezeke juu ya wapendanao.. Kuaminiana na kupeana support. Kufarijiana pia.

Kikubwa zaidi Imani iwe juu Yao.

kazi na ibada. View attachment 1766248
Watu wanamchukulia Obama kama hero wakati USA huwezi kosa kazi ya kujikimu kula,kulipa kodi na savings uwe umesoma au la pia hamna kulipa ada za watoto shule. Kule ukila na kulala kwa shemeji yako jua umependa mwenyewe tu.
 
Unapenda mb** ndefu?
 
Vipi kuhusu homeless ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…