Kupanga ni kuchagua sheikh...kwenye haya maisha kila mtu ana jambo analolipenda. Hata wewe hauchukui mwanamke yeyote tu maadam ana k ...uuna vigezo vyako mahsusi. Sasa kwa nini iwe nongwa mwanamke akiweka standard zake?
Kuhusu standards, hebu nambie kihistoria tokea umezaliwa na kuyajua mahusiano, nipe list ya wanawake wachache ambao, walitafuta, na kupata mwanaume wanaemtaka na kisha kuweza kua nae kimahaba na wakadumu.
Jua jambo moja, mwanaume anachagua wa kumhudumia sio wa kumpenda, ndio maana unasikia vilio kila siku wanawake wanalia kuwa mwanaume bahili sijui hamjali, je wewe ni chaguo lake?!
Sisi wanaume tuna mambo machache sana katika kuishi na mwanamke. Kwanza anivutie kimwili na kitabia halafu hapo utaona commitment. Mwanaume atatumikia bila kujijua na atatoa kila alichonacho kwa hiari ya moyo ili huyu mwanamke aendelee kutabasamu na kuwa na amani.
Ila unaweza kuwa mzuri na mwanaume asikutunuku hadhi ya mke.
Upande wa pili wanawake kuchagua mwanaume ni learned behavior na sio natural trait ya kike.... Women are not hunters for men.... Never in history of science up to current moment social relationships studies zimeweza kuprove otherwise, facts about nature still reflects the truth from nature.
Haya maneno ya "nyoko nyoko kama wanaume wanafanya hivi, nyoko nyoko kwann wanawake washindwe kufanya the same" ni garbage nonsense kutoka kwa inexperienced relationships gurus wanao tafuta cheap audiences ya kuuza underresearched contents zao.
Kama unabisha fanya utafiti wa kimya wa kuobserve kwa macho yako sio utafiti wa kusoma Beyonce kasema nini utabadili mtazamo wako, otherwise stay ignorant at the expense of your grandchildren.
As for the conclusion, wanawake huwa hawana realistic standards za wanaume sababu ni emotional beingz. Men have realistic standardz sababu ni natural hunters.
Hivi pigia picha simba awe anawinda bila kuchagua anataka kukamata nyumbu yupi, si atashinda anakimbia kimbia mwishowe achoke akose nguvu za kuwinda. Thats women. Mwanamke anaweza sema yeye standard yake ni mwanaume tajiri na mwenye pesa na ambaye ni business man anaeshinda akisafiri kwa ndege. Then akishapata within a month akaboreka na lifestyle ya mke wa billionaire akataka kudate na thug ambaye wataspend the whole week fucking, eating, drinking, smoking, watching movies, go online the back to fucking. Then baada ya miezi kadhaa akiona huyu thug yupo broke, akamiss matumizi aliyokuwa anafanya na billionaire akaanza kumtafuta tena ili arudi, how do u call this standard?!