Wanawake mnaofanya kazi hizi office acheni kuringa.

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Kuna utafiti usio rasmi ambao nimeufanya ila sijauchapisha kwenye jarida lolote,nimegundua wanawake wanaofanya kazi office hizi wana maringo sana na dharau.
1.Crdb branch zote nchini
2.Nssf hasa kinondoni branch
3.psssf nchi nzima
4.Ilala city council
5.Dodoma city council
6.Exim bank
7.USAID
8.kampuni za utalii zote hasa zilizopo arusha
9.mwendokasi
10.Tanapa
 
Bora walimu tumepumzishwa!
 
Kwanza si wote, pili hao wa USAID ni suala la muda vilio vitasikika
 
Back
Top Bottom