Wanawake mnaofanya kazi hizi office acheni kuringa.

Kuna utafiti usio rasmi ambao nimeufanya ila sijauchapisha kwenye jarida lolote,nimegundua wanawake wanaofanya kazi office hizi wana maringo sana na dharau.
1.Crdb branch zote nchini
2.Nssf hasa kinondoni branch
3.psssf nchi nzima
4.Ilala city council
5.Dodoma city council
6.Exim bank
7.USAID
8.kampuni za utalii zote hasa zilizopo arusha
9.mwendokasi
10.Tanapa
#7 tramp ashawanyoosha
Sahv wengi wanapumulia machines

Ova
 
Kitu pekee anajivunia muafrika ni ngono,yaani hata masikini akitembea na mtu mwenye uwezo kipesa ,utasikia aaaah yule hata aringe vipi nishapiga

Sasa huwa najiuliza inasaidia nini?
😆 😆

Sii kala utamu jjamni roho imeburudika inatosha hiyo
 
Kuna utafiti usio rasmi ambao nimeufanya ila sijauchapisha kwenye jarida lolote,nimegundua wanawake wanaofanya kazi office hizi wana maringo sana na dharau.
1.Crdb branch zote nchini
2.Nssf hasa kinondoni branch
3.psssf nchi nzima
4.Ilala city council
5.Dodoma city council
6.Exim bank
7.USAID
8.kampuni za utalii zote hasa zilizopo arusha
9.mwendokasi
10.Tanapa
2 na 3✅
 
ni haki yao kuringa, kwa nini mnataka watu wawe miserable? (the world is Living Suffering is Your Choice) 😎
 
Kwani everything has to be ablut kipato cha kila siku?
Kuna vingine tunafanya ili kuburudisha nafsi mzeya
Ahaaaaa basi sawa,ngoja nimvizie DC mmoja nisuuze roho yangu,hata nisipopata faida nitahakikisha natumbukiza mjulubendi pale🤣
 
Kitu pekee anajivunia muafrika ni ngono,yaani hata masikini akitembea na mtu mwenye uwezo kipesa ,utasikia aaaah yule hata aringe vipi nishapiga

Sasa huwa najiuliza inasaidia nini?
Ndicho wanachoweza, or utasikia atakufa tu. Yaani badala ajifunze kutoka kwenye hiyo hali, anawish aporomoke
 
Back
Top Bottom