kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Ngoja siku tukuchukue picha na video kisha tukuanike mtandaoni utaelewa kituPesa ipo,wacha turinge.
Hata wewe hapo halmashauri ya kiteto unaweza kuringa tu hujazuiwa na yeyote.
Duh umewaza nini au ndio michezo yako?Wanaringa nje ila kwa upande wa pale kati wanaliwa kimasihara...
Penyewe1.Crdb branch zote nchini
Umejuaje au na wewe ni dada wa bank anaeliwa kimasihara?Wanaringa nje ila kwa upande wa pale kati wanaliwa kimasihara...
[emoji23] Nimecheka kwa sauti ya kirobot hahaohohoWanaringa nje ila kwa upande wa pale kati wanaliwa kimasihara...
Huwa sina time nao kama wakizingua nanyooka kwa manager moja kwa moja hela yangu haiwezi kunisumbua pia.Wadada wa bank wakikuangalia nakuona kama mdudh
Bora walimu tumepumzishwa!Kuna utafiti usio rasmi ambao nimeufanya ila sijauchapisha kwenye jarida lolote,nimegundua wanawake wanaofanya kazi office hizi wana maringo sana na dharau.
1.Crdb branch zote nchini
2.Nssf hasa kinondoni branch
3.psssf nchi nzima
4.Ilala city council
5.Dodoma city council
6.Exim bank
7.USAID
8.kampuni za utalii zote hasa zilizopo arusha
9.mwendokasi
10.Tanapa
Sasa wewe unaenda salon za kike kufanya nini?Hivi hizi research zenu huwa mnatumia methodologies gani kuziandaa?
Hivi kuna wanawake wanaringa kama hawa wanaofanya biashara za saloon?
Kwani wewe huringi afsa?Bora walimu tumepumzishwa!
Kwanza si wote, pili hao wa USAID ni suala la muda vilio vitasikikaKuna utafiti usio rasmi ambao nimeufanya ila sijauchapisha kwenye jarida lolote,nimegundua wanawake wanaofanya kazi office hizi wana maringo sana na dharau.
1.Crdb branch zote nchini
2.Nssf hasa kinondoni branch
3.psssf nchi nzima
4.Ilala city council
5.Dodoma city council
6.Exim bank
7.USAID
8.kampuni za utalii zote hasa zilizopo arusha
9.mwendokasi
10.Tanapa
Kwani kukutana nao mpaka niende saloon?Sasa wewe unaenda salon za kike kufanya nini?
Maisha yananipeleka puta, huo muda wa kuringa nautoa wapi!!!Kwani wewe huringi afsa?