Wanawake mnaofanya kazi hizi office acheni kuringa.

Wanaringa wakiwa wapi mkuu nyumbani, ofisini au sokoni mkuu? Hebu fafanua kidogo
 
Huwa sina time nao kama wakizingua nanyooka kwa manager moja kwa moja hela yangu haiwezi kunisumbua pia.
Ila wengine wako humble mkuu mpk wanakuwa washkaji zetu
Unanyooka kwa Meneja.
Meneja akiwa mwanamke utanyooka kwa...
 
Kulinga ni silaha ya kujihami kuwa wanatoa kipochi kirahisi. Wanamtisha customer tu
 
Reactions: Okk
7 hawaringi tena Kwa Hisani ya Trump
 
Sema CRDB kuna pisi kali jamani, nahisi pale ajira kwa wadada hutolewa kulingana na shepu au sura.
 
Hao namba 7 umewaonea tu, hawakukuletea maringo ila ni kweli vile vidonge ulivyoenda kuchukua sasa hivi havipo tena. Trump kachomoa betri
 
Sio wanaringa status yake inakuwa hamuendani tuu mbona wapo simple sanaa
 
Namba 1 nakuunga mkono na si wanawake tu baadhi ya branch hata wanaume wanafanya kazi kwa kuridhika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…