Wanawake mnaojenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua huwa mnamaanisha nini?

Tena wanaume wengi akijitahidi sanaa kuhudumia mtoto basi atamlipia ada tu, kuhusu kula, mavazi, afya jukumu anaachiwa mwanamke.
 
Wana akili! Kwa ndoa za nyakati hizi wanajua wataachika
muda wo wote.
Sasa akiachika afikie wapi?
 
Yani umekataa generalization ya wanaume wote (hawako kama baba yake) ila wanawake wote wana asili moja πŸ˜‚.
  • Wanaume wote siyo wabaya wala wabinafsi.
  • Wanawake wote siyo wabaya wala wabinafsi.
Kuwa fair kwao wote, tabia zinatengenezwa na utashi wa mtu na mazingira.
 
Kabisa, baadhi ya wanawake wanasukumwa kufanya hivi kwa sababu ya mazingira magumu ndani ya familia.
 
Hiyo inaitwa PREPAREDNESS FOR UNKNOWN FUTURE IN MARRIAGE na wako sahihi, uzuri ni kwamba watoto pia watakuwa ni sehemu ya hizo mali za kificho
 
Kabisa masimango ni mengi mimi mpaka nimepunguza upendo kwake
pole sana mkuu, wanawake nature yao ni ubinafsi, ndio maana hata wao kwa wao hawapendani, kuna Singo maza mmoja alipata mwanaume wa kumuoa kabisa na huyo mwanaume alikuwa serious, kikwazo kikawa kwa mama wa mwanaume, akamwambia mwanangu kama mimi ni mama yako hutamuoa huyo mwanamke ambaye amezaa
 

Nakupa mfano mwengine najua umetanguliza hisia tu, kuliko uhalisia.Ukipata muda kama unarafiki HR muulize hivi wanaume wamewaandika wakina nani kama wafuatiliaji wa mirathi yao makazini na wanawake wamewaandika wakina nani?Utarudi palepale,NYIE NI WABINAFSI KIASILI NA NI WACHOYO ipo hivyo.

Sawa mnafanya mambo yenu kimya kimya bila kuwashirikisha waume zenu,sasa why ndoa ikivunjika mnataka mgawane vya wanaume wenu ila vyenu hamtaki viguswe?Kama umechoka si uondoke na unaweza uakauta hata hizo mali mnazojenga kimya kimya zina mchango wa mwanaume.
 
Baba yangu sijui kamuandika naniπŸ€”
 
Hao watoto aliwazaa peke yake!?mume wake hawamhusu!!?
Ina maana huyo mwanamke alijilala mwenyewe ndio akazaa au watoto sio was huyo mume!!?

Funguka zaid wenye akili timamu tuelewe!!
Hii dhana ya wanawake kujimilikisha watoto huwa inanitoa sana mchezoni. Na wangekuwa wanajipa mimba wenyewe sijui ingekuwaje...
 
πŸ˜€kumbuka hata mama zetu walifanya hivyo kwa ajili ya security yetu watoto, ila huwezi jua kabisa, so wako right kufanya hivyo
 
Kwanini, mkitaka kuachana mkadai na talaka mnakimbilia kutaka kugawana mali, halafu za kwenu mlizozipata ndani ya ndoa hiyo hiyo hamtaki ziguswe?
Sina jibu la moja kwa moja ya swali hili.
Kwa upande wangu siwezi kumfanyia hivi mtu niliyenaye kwasababu hela zake nazitumia nitakavyo halafu sio mchoyo.
Hela zangu tutazitumia wote hata nikipata kazi akitaka na mshahara wangu nitampa kila mwezi.
 
Duniani sheria za mgawanyo wa mali hazijawahi kuwa rafiki kwa wanaume ndio maana hata US wameanza kufuatili hili na moja ya jimbo waliolipitisha hili ni Miami mgawanyo na Allomony wanangalia umeishi na mwanaume kwa kipindi gani na mchamgo wako kwake. Huko US talaka zinaongoza kuwaumiza na kuwafilisi wanaume na kuwachia Mental Health kwani, kwani kwenye mgawanyo wa mali alizo tafuta kwa jasho lake wanapunjwa,Allomony wanalipa wao na bado wananyimwa nafasi ya kuwaona watoto. (Si zungumzii hisia bali na zungumza uhalisia).

Halafu unaposema jukumu la watoto ni la mama,wakati kuna wazee kibao wanakimbizana kulipa ada na mahitaji mengine ya msingi ya mtoto hawa wazee jukumu lao ni lipi ambalo ww unataka walifanye? By nature wanaume sio waongeaji na hawanaga kelele,wanaume wengi wanatelekeza mahitaji ya msingi, hata kama wengi wenu hamuadmit, ila wengi wenu mnataka mfaidike kupitia hela ile ile anayopewa mtoto.


Nimekuulizwa swali umeriruka mnajenga na kuwekeza kimya kimya why sasa ndoa ikivunjika unataka mgawanyo kwenye mali za mwanaume ila zako hutaki?Najua huwezi jibu sababu si kosa lako bali by nature mwanamke ni mbinafsi.
 
Hamna sehemu niliyo sema ke ni wabaya,ila by nature mwanamke ni mbinafsi ukubali ukatae ipo hivyo.
 
Alafu acha kutoa mawazo ya kiuwanaharakati,toa mawazo kama mwanafamilia anaependa familia iwe pamoja siku zote, wwe akili zako zote umeziweka kwenye mgawanyo wa Mali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…