Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubaya Ubwela [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa yangu alimshtukia mkewe ana kibanda cha room 3 na kajenga kimya kimya. Kilichomfanya aanze kufanya uchunguzi ni mke kuanza kuwa jeuri kupitiliza. Alitafuta wahuni wakakivunja usiku, dada wa watu alitumia wiki kama mbili anaongea kwa ukwali huku akitema mate kama cobra bila kueleza kipi kimemkuta.
Very poor script, hata kwenye bongo movie huwa hawatudanganyi hivi.Mimi binafsi nilijenga kwa hasira, na wala sijui hata hizo pesa nilipatapata vipi. Mwanaume alikuwa analeta mwanamke wake hadi nyumbani na kuwatambulisha watoto huyu ndie mama yenu mdogo. Pesa niliyokuwa natoa ya matumizi, atoe komandi apelekewe chakula na mgeni wake(mchepuko). Kufukuzwa kila siku tokeni kwenye nyumba yangu. Hapo mwanamke wake alikuwa mjamzito. Nilifanya maamuzi magumu kwa kweli, watoto wawili na mimba juu. kila siku kutishiwa kufukuzwa, ningekuwa mgeni wa nani mimi. Najifungua anakataa mtoto sio wake. Mungu fundi sana katoka copy and paste. Mpaka anakuja kujua nimejenga nyumba imeshaisha.
Huyo anapaswa kuzikwa akiwa hai !!🤣🤣🤣 wanaume wanaotelekeza mama na watoto wapo wengi tu!!
Wakati huo yeye ha cheat au!!?yaani yeye ni bikra maria!!?nawafahamu wanawake wanaojenga kwa siri wengi wao unakuta kamfuma mume kamcheat au mume kazaa nje ya ndoa. Kwa hivyo kama wewe mwanaume ulishawahi kumcheat mke wako na akafahamu hata kama kakusamehe lakini jua anapambana kivyake kichini chini bila wewe kujua
Mbona umekasirika sana ndugu yangu Shemeji kakukamata umemcheat?Wakati huo yeye ha cheat au!!?yaani yeye ni bikra maria!!?
Na kama ume cheat kama anavyodhani na Mali Zita cheat. Na mlivyovijenga pamoja vita cheat SI ndio!!?
Na huyo moto wa nje atakuja kwenye familia kivipi kwamfano Hadi arithi hizo Mali ambazo hazijui!!?na hatambuliki hapo nyumbani!!?
Dhana dhahania TU ambayo Haina mantiki!
Ngoja tuone,bahati nzuri sio mwisho wa maisha!!
Hakuna mkuu!!Mbona umekasirika sana ndugu yangu Shemeji kakukamata umemcheat?
Kama alikufuma basi ujue unalo kubaliana na hali tu au na wewe ficha vya kwako
Labda kama tungekua tumepanga nyumba Hadi leo!hata miaka 3 haikufika tukawa na kwetu,hizi sarakasi ni baada ya kuona ndoto zake Fulani zimetimia ndio zikaanza!wanawake mliowengi hamjui kuishi mafanukio matokeo take ndio haya!!Akifanya hivyo Ina maana hakuamini,anajua siku yeyote mtaanguka sababu kubwa ikiwa ni kucheat na kutumia hela hovyo
Ni kweli. Mwanaume bila pesa ni uselessKabisaaa. Mwanamke akoshapata hela wazo lake la kwanza ni kumuondoa kabisa maishani mwake kiumbe anaitwa mwanaume
Umeongea ukweli.Ni kweli. Mwanaume bila pesa ni useless
🤣🤣🤣🤣Wanawake wengi, ila siyo wote, wakipata hela hawataki au hawaoni umuhimu wa mwanaume na ndoa.
Kataa ndoa hapa wanayoyoma kwa kasi ya SGR
Ah wapi. Mwana.me wa aina yoyote anafaa kwa matumiziUmeongea ukweli.
Mwanamke bila tako na titi ni useless
Ni ubinafsi wa wanawake tuuh wasikuiz ni hatari Kwa afya MzeebabaNataka kujua ndio ujanja, umaarufu, ukisasa, usomi, kiburi, majigambo, majivuno, dharau, umwamba au!!?
Na tena wakati unafanya hivyo upo kwako na mlishajenga pa kuishi na mwenza anakushirikisha Kila jambo la kifamilia analofanya!
MSAADA TAFADHALI, sio kwamba natumika baadae nitangulizwe baada ya mpango kazi wake wa ukwasi kukamilika!
Pia najiuliza ikitokea akanyamaza Sasa hivi hapo alipo hao wasiri wake wengine watawarithisha watoto wake nyumba hiyo Kwa upendo na kama watoto hawajui!!?Ndio maana Huwa nashindwa kuficha maendeleo ninayoyafanya coz sijui ndugu ninaowaamini nikinyamaza Sasa hivi watawaambia watoto au make Mali zangu za Siri!!?au watakula wao na kuwadhulumu!!?
Maoni yenu nitayazingatia!
Kataa ndoa mje pole pole!!
Na wale waume wenza mliopo humu mje pole pole nawajua!
Siku hizi kuna wanawake kibao wanajenga bila kucheat wala wanaume wao kuzaa nje na tena wanajenga kupitia hizi hela wanazopewa na waume zao.nawafahamu wanawake wanaojenga kwa siri wengi wao unakuta kamfuma mume kamcheat au mume kazaa nje ya ndoa. Kwa hivyo kama wewe mwanaume ulishawahi kumcheat mke wako na akafahamu hata kama kakusamehe lakini jua anapambana kivyake kichini chini bila wewe kujua
Yaani mnavyoishirikia hii hoja ya kucheat utafikiri nyie wanawake ni waaminifu sana na huwa ham cheat kabisa..! Na wakati ukija mjadala wowote unaohusu DNA test huwa mnapinga kweli, na mnakosa amani.... Na kama hiyo haitoshi report ya mkemia mkuu wa serikali inasema zaidi ya 41% ya watoto waliopo kwenye jamii yetu sio wa baba husika wanaowaelea! Tafsiri yake nyie wenyewe wanawake ni wachepukaji wakubwaAkifanya hivyo Ina maana hakuamini,anajua siku yeyote mtaanguka sababu kubwa ikiwa ni kucheat na kutumia hela hovyo
Kufichana fichana sio poaaa lo
Sasa mtu kajenga mpk nyumba bado unasema hana kipato?Kumbe wanakua wamejiandaa kuachana SI ndio!!?
Okh na kama hawana kipato wanakua wanajiandaaje kuachana !!?maana hawana kipato!