Wanawake mnaojenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua huwa mnamaanisha nini?

Wanawake mnaojenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua huwa mnamaanisha nini?

Anko wangu nae mke wake alimfanyia hivyo hivyo,alipogundua alimwambaia either amuache au aendelee nae,mke akaona isiwe tabu akamkabidhi Hati mumewe,hadi leo wanaishi fresh tu
 
Kuna jamaa yangu alimshtukia mkewe ana kibanda cha room 3 na kajenga kimya kimya. Kilichomfanya aanze kufanya uchunguzi ni mke kuanza kuwa jeuri kupitiliza. Alitafuta wahuni wakakivunja usiku, dada wa watu alitumia wiki kama mbili anaongea kwa ukwali huku akitema mate kama cobra bila kueleza kipi kimemkuta.
Ubaya Ubwela [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi binafsi nilijenga kwa hasira, na wala sijui hata hizo pesa nilipatapata vipi. Mwanaume alikuwa analeta mwanamke wake hadi nyumbani na kuwatambulisha watoto huyu ndie mama yenu mdogo. Pesa niliyokuwa natoa ya matumizi, atoe komandi apelekewe chakula na mgeni wake(mchepuko). Kufukuzwa kila siku tokeni kwenye nyumba yangu. Hapo mwanamke wake alikuwa mjamzito. Nilifanya maamuzi magumu kwa kweli, watoto wawili na mimba juu. kila siku kutishiwa kufukuzwa, ningekuwa mgeni wa nani mimi. Najifungua anakataa mtoto sio wake. Mungu fundi sana katoka copy and paste. Mpaka anakuja kujua nimejenga nyumba imeshaisha.
Very poor script, hata kwenye bongo movie huwa hawatudanganyi hivi.

Jaribu tena kutunga uongo ambao hata mtu akosoma hawezi kushtukia.
 
nawafahamu wanawake wanaojenga kwa siri wengi wao unakuta kamfuma mume kamcheat au mume kazaa nje ya ndoa. Kwa hivyo kama wewe mwanaume ulishawahi kumcheat mke wako na akafahamu hata kama kakusamehe lakini jua anapambana kivyake kichini chini bila wewe kujua
 
Wakati huo yeye ha cheat au!!?yaani yeye ni bikra maria!!?
Na kama ume cheat kama anavyodhani na Mali Zita cheat. Na mlivyovijenga pamoja vita cheat SI ndio!!?

Na huyo moto wa nje atakuja kwenye familia kivipi kwamfano Hadi arithi hizo Mali ambazo hazijui!!?na hatambuliki hapo nyumbani!!?

Dhana dhahania TU ambayo Haina mantiki!

Ngoja tuone,bahati nzuri sio mwisho wa maisha!!
 
Mbona umekasirika sana ndugu yangu Shemeji kakukamata umemcheat?
Kama alikufuma basi ujue unalo kubaliana na hali tu au na wewe ficha vya kwako
 
Mbona umekasirika sana ndugu yangu Shemeji kakukamata umemcheat?
Kama alikufuma basi ujue unalo kubaliana na hali tu au na wewe ficha vya kwako
Hakuna mkuu!!
Hajawahi zaidi ya vijimaneno vya kampani ya vijamaa na ndugu yake mmoja hivi!!

Ana walimu wengi wanaomfundisha namna ya kuishi na mimi!vimichepuko,wafanyakazi wenzake na ndugu yake mmoja hivi!

Ana aply nadharia Fulani fulani!
 
Akifanya hivyo Ina maana hakuamini,anajua siku yeyote mtaanguka sababu kubwa ikiwa ni kucheat na kutumia hela hovyo
 
Akifanya hivyo Ina maana hakuamini,anajua siku yeyote mtaanguka sababu kubwa ikiwa ni kucheat na kutumia hela hovyo
Labda kama tungekua tumepanga nyumba Hadi leo!hata miaka 3 haikufika tukawa na kwetu,hizi sarakasi ni baada ya kuona ndoto zake Fulani zimetimia ndio zikaanza!wanawake mliowengi hamjui kuishi mafanukio matokeo take ndio haya!!
 
Nataka kujua ndio ujanja, umaarufu, ukisasa, usomi, kiburi, majigambo, majivuno, dharau, umwamba au!!?

Na tena wakati unafanya hivyo upo kwako na mlishajenga pa kuishi na mwenza anakushirikisha Kila jambo la kifamilia analofanya!

MSAADA TAFADHALI, sio kwamba natumika baadae nitangulizwe baada ya mpango kazi wake wa ukwasi kukamilika!

Pia najiuliza ikitokea akanyamaza Sasa hivi hapo alipo hao wasiri wake wengine watawarithisha watoto wake nyumba hiyo Kwa upendo na kama watoto hawajui!!?Ndio maana Huwa nashindwa kuficha maendeleo ninayoyafanya coz sijui ndugu ninaowaamini nikinyamaza Sasa hivi watawaambia watoto au make Mali zangu za Siri!!?au watakula wao na kuwadhulumu!!?

Maoni yenu nitayazingatia!

Kataa ndoa mje pole pole!!

Na wale waume wenza mliopo humu mje pole pole nawajua!
Ni ubinafsi wa wanawake tuuh wasikuiz ni hatari Kwa afya Mzeebaba
 
nawafahamu wanawake wanaojenga kwa siri wengi wao unakuta kamfuma mume kamcheat au mume kazaa nje ya ndoa. Kwa hivyo kama wewe mwanaume ulishawahi kumcheat mke wako na akafahamu hata kama kakusamehe lakini jua anapambana kivyake kichini chini bila wewe kujua
Siku hizi kuna wanawake kibao wanajenga bila kucheat wala wanaume wao kuzaa nje na tena wanajenga kupitia hizi hela wanazopewa na waume zao.

Kuna wanawake wana kazi ila vipato vyao havijulikani vinaenda wapi na kwenye familia havionekani, kuna wanawake wanakopa kila siku ila vipato vyao havionekani kwenye familia na havijulikani vinaenda wapi na hiyo mikopo mara nyingi hulipwa na wanaume,kuna wanawake wanacheza michezo majina matatu wanavicoba na tena utakuta hela ya hivyo vyote hupewa na mume,ila baadae hela anayo ipata haijulikani inaenda wapi na wala mchango wake kwenye familia hauonekani.

Kiasilia mwanamke ni mbinafsi kwenye hela yake ipo hivyo na itaendelea kuwa hivyo, mwanamke achitiwe ,asichitiwe ila hela yake ni ngumu kutoka na ndio maana wanaume tena wale wenye principles za wazee wa zamani hela ya mwanamke hawaipigia hesabu ndani ya nyumba kwani ukiiulizia tu ugomvi.Ndio maana wazee wengi wanaamini kwenye nyumba mume akiwa na laki mbili na mke akiwa na milioni moja wanajua jumla nyumba ina laki mbili, huwezi kuelewa hizi hesabu kama sio mwanaume.

Sema tu wanaume sio waongeaji, ila hivi vifua vimeficha mengi sana.Ubinafsi ndio umefanya hata rate ya kuoa kupungua,huko ulaya matajiri wanaogopa kuoa, sio huko hata hapa kuna vijana kibao wanamaisha ila kuoa wanaogopa,wanaishia kuzalisha na kutengeneza single mother. Itafika kipindi kuoa kutaonekana kama ni kitendo cha Kishujaa.
 
Akifanya hivyo Ina maana hakuamini,anajua siku yeyote mtaanguka sababu kubwa ikiwa ni kucheat na kutumia hela hovyo
Yaani mnavyoishirikia hii hoja ya kucheat utafikiri nyie wanawake ni waaminifu sana na huwa ham cheat kabisa..! Na wakati ukija mjadala wowote unaohusu DNA test huwa mnapinga kweli, na mnakosa amani.... Na kama hiyo haitoshi report ya mkemia mkuu wa serikali inasema zaidi ya 41% ya watoto waliopo kwenye jamii yetu sio wa baba husika wanaowaelea! Tafsiri yake nyie wenyewe wanawake ni wachepukaji wakubwa
 
Back
Top Bottom