Wanawake mnaoleta wenzenu tukiwa out mjitathmini! ukaribu mnaotujengea nao hutupa majaribu makubwa ya kuanzisha nao mahusiano ya kimapenzi

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Wanawake mjiangalie sana, mjitathmini tafadhali,

Unaambiwa jumamosi ujiandae mtoke out, wewe unaleta rafiki zako tena wengine ni pisi kali kuzidi wewe..

Wanamuona mwanaume wako anavyowalipia vinywaji, vyakula, wanaona ana ndinga kali, jinsi anavyoweza kutunza mwanake afurahi, n.k

Hivi unafikiri nao hawapendi kuwa na mwanaume kama wako ?? Unafkiri wanapenda kutembea tembea kwenye mavumbi badala ya kubebwa kwenye ndinga ?? Unafkiri siku za weekend wanapenda kushinda nyumbani badala ya kutolewa out??

Hao unaowaita marafiki zako wapo wanaompiga jicho mwanaume wako huyo wanavyomuona jinsi alivyo na uwezo wa kiuchumi na anaweza kumtunza mwanamke, watajilengesha na kutumia chochote kilichomo ndani ya uwezo wao kumpata.

Wewe na ushamba wako upo bize kuwafurahisha wenzako ili wakusifie kwamba umepata chuma, ila kuna wenzako wanafikiria mbali,

unamtambulisha mwanaume wako kwa wenzako na hapa unawajengea ukaribu, mwanaume akiamua kutumia ukaribu huu kumsaka mwenzako una haja ya kulalamika ?
 
Ntasema tena na tena. Na narudia tena, ukimpa ofa mwanamke ya kumtoa out af akaja na rafiki zake, komaa kbsa na mmpja wao. Tena onyesha hisia waziwazi. Hawezi kurudia tena huo ujinga.
Wahed!
 
Kiukweli haipendez kunamaongez pia ya faragha huenda mwenzio alitaka muongee mnaongeaje mbele ya rafikizako maybe mwanaume aombe uende nao,apa naunga mkono hoja
 
Sijui wenzangu wanafeli wapii kubeba mashost, haya napita
Alafu tena hao rafiki zake anaowaleta leta out ndio wanakuwaga chaguo letu la kwanza la kutafuta girlfriend mpya au mchepuko baada ya nreak up, mkizinguana tu unakumbuka kuna mashosti zake alikujengea nao ukaribu kwenye out zenu, basi wala hakuna haja ya kuumiza kichwa, ni kuanza nao hao hao tu,
 
Kila mwanamke anayeleta rafiki kwenye mtoko (out) ni shangingi. Mpige chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…