sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Wanawake mjiangalie sana, mjitathmini tafadhali,
Unaambiwa jumamosi ujiandae mtoke out, wewe unaleta rafiki zako tena wengine ni pisi kali kuzidi wewe..
Wanamuona mwanaume wako anavyowalipia vinywaji, vyakula, wanaona ana ndinga kali, jinsi anavyoweza kutunza mwanake afurahi, n.k
Hivi unafikiri nao hawapendi kuwa na mwanaume kama wako ?? Unafkiri wanapenda kutembea tembea kwenye mavumbi badala ya kubebwa kwenye ndinga ?? Unafkiri siku za weekend wanapenda kushinda nyumbani badala ya kutolewa out??
Hao unaowaita marafiki zako wapo wanaompiga jicho mwanaume wako huyo wanavyomuona jinsi alivyo na uwezo wa kiuchumi na anaweza kumtunza mwanamke, watajilengesha na kutumia chochote kilichomo ndani ya uwezo wao kumpata.
Wewe na ushamba wako upo bize kuwafurahisha wenzako ili wakusifie kwamba umepata chuma, ila kuna wenzako wanafikiria mbali,
unamtambulisha mwanaume wako kwa wenzako na hapa unawajengea ukaribu, mwanaume akiamua kutumia ukaribu huu kumsaka mwenzako una haja ya kulalamika ?