Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Hii huwa naona kwenye vyumba vya kubadirishia nguo (changing room) hasa kabla na baada ya kazi mnapojiweka sawa ili mrudi ma kwenu. Hata chuo ma bwenini nilikuwa naona sana wanaume wa aina hii.
Tulivyo wanaume huwa hatuwazi vitu vidogo vidogo kama hivi. Sasa unakuta mwanaume ana zile bukta za Chelsea, Man U nk na imetoboka kwa chini na hawazi.
Wengine kakata suruali na kuifanya bukta kisha kuwa nguo ya ndani na yenyewe imetoboka vilele.
Sasa akiinama apake mafuta mayai ya mbingu yana ning'inia yote na hawazi kitu mnachapa stori then anaenda.
Mwingine kavaa boxer vile imemkaa lazima ucheke tu. Mimi niliona jamaa kavaa bukta ya kitenge kwa ndani imeandikwa maneno japo hayakukamilika.
Tulicheka sana jamaa alikuwa mjita. Tangu siku hiyo hakuwahi kuivaa tena sijui aliitupa hata haijulikani na hatukujua nani alimshonea hiyo bukta imekaa mkao kama boxer na hii ni mwaka jana tu.
Kuna jamaa mwingine alipata ajari ya jeck(jack harmer) kwa wale wachimbaji wa dhdhabu wa mgodini (miner) wanaijua.
Huyu jamaa alikuwa katika majukumu yake anapiga kazi huku kavaa PPE (overall) jeki ile ili mrusha akaanguka na kuzimia basi haraka wenzake wakatoa taarifa ili aje achukuliwe na kupelekwa clinic haraka.
Basi kuharakisha kumtoa ile overall ikabidi ma nurse waichane kwa mkasi kukuta jamaa kavaa tight ya kike kila mtu alipigwa butwaa. Jamaa alikuwa anataniana sana na watu hasa wakulya na wajaruo maana yeye alikuwa muhaya.
Hii ilivuma sana hapo mgodini ...............
Wanawake mnaona mengi sana hivi huwa hamtucheki kweli kwa vituko vya aina hii?