fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
are you msukuma
in dudu baya's voice
in dudu baya's voice
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mgogoare you msukuma
in dudu baya's voice
hapana mi mluguru mkuuMkuu we ni msukuma?
Kesho ya jana ikifika natimiza miaka mwezi na nusuUna umri gani?
ACHA KUVAA BUKTA YA TOBO MKUU.punguza makasirikoVery stupid, yaani umejivua jinsia yako ukavaa uhusika wa kike na kuona kama hicho ni kichekesho.
Sidhani kama kuna mwanaume kamili anaweza kuwaza hivi aisee. Hata wanawake wenyewe usikute wanaelewa tu ni mambo ya kawaida mtu hana exposure ya vitu kama boxer, na demu anayejitambua anaweza kumletea zawadi tu au kumshauri.
Hapana mi mzaramo mkuuMkuu wewe ni msukuma?
Kuna watu wanavaaga chupi za kike,huwa nashindwa kuwaelewa ni kwamba hawajui kuzitofautisha au nini wanatakaHahaha alichokiandika ni kweli sio uwongo na hayo matukio nimeyaona sanaa. Ila binafsi nimejikuta nikiwaona nawaoneaga huruma tu nahisi kuna exposure hawana na pengine ndo washazoea kubadilika inakuwa kazi.
Niliwahi kufanya biashara ya nguo za ndani and I was even suprised kuona wanaume wanaulizia chupi nikiwashauri kuhusu boxer hawanielewi kabisa japo wapo ambao nilikuwa nafanikiwa na wakivaa wanarudi kununua tena na tena.
Hii ni kama mwanaume kushona shati la kitenge sawa na mke wake unaweza kuona ni kichekesho wengine wakaona sawa ila ni kwamba hapo kuna kitu hakiko sawa ni swala la kuelimishana tu sister ake.
Mwamba aliabika hospitalKuna watu wanavaaga chupi za kike,huwa nashindwa kuwaelewa ni kwamba hawajui kuzitofautisha au nini wanataka
Nikweli mkuu hili ni jukwaa huru lazima kila jiwe liguswe aseeSema wanangu tuongee ukweli kuvaa boxer na bukta ndani ya suruali ni ushamba.
Chupi za kiume zipo, zinaitwa briefs...Hahaha alichokiandika ni kweli sio uwongo na hayo matukio nimeyaona sanaa. Ila binafsi nimejikuta nikiwaona nawaoneaga huruma tu nahisi kuna exposure hawana na pengine ndo washazoea kubadilika inakuwa kazi.
Niliwahi kufanya biashara ya nguo za ndani and I was even suprised kuona wanaume wanaulizia chupi nikiwashauri kuhusu boxer hawanielewi kabisa japo wapo ambao nilikuwa nafanikiwa na wakivaa wanarudi kununua tena na tena.
Hii ni kama mwanaume kushona shati la kitenge sawa na mke wake unaweza kuona ni kichekesho wengine wakaona sawa ila ni kwamba hapo kuna kitu hakiko sawa ni swala la kuelimishana tu sister ake.
Waafrika tuna kazi sana kwakwel. Wakati vijana katika nchi zilizoendelea wanafanya utafiti zenye maana kwa nchi zao huku kuna watafiti wa chupi na boxer zilizotoboka.Hii huwa naona kwenye vyumba vya kubadirishia nguo (changing room) hasa kabla na baada ya kazi mnapojiweka sawa ili mrudi ma kwenu. Hata chuo ma bwenini nilikuwa naona sana wanaume wa aina hii.
Tulivyo wanaume huwa hatuwazi vitu vidogo vidogo kama hivi. Sasa unakuta mwanaume ana zile bukta za Chelsea, Man U nk na imetoboka kwa chini na hawazi.
Wengine kakata suruali na kuifanya bukta kisha kuwa nguo ya ndani na yenyewe imetoboka vilele.
Sasa akiinama apake mafuta mayai ya mbingu yana ning'inia yote na hawazi kitu mnachapa stori then anaenda.
Mwingine kavaa boxer vile imemkaa lazima ucheke tu. Mimi niliona jamaa kavaa bukta ya kitenge kwa ndani imeandikwa maneno japo hayakukamilika.
Tulicheka sana jamaa alikuwa mjita. Tangu siku hiyo hakuwahi kuivaa tena sijui aliitupa hata haijulikani na hatukujua nani alimshonea hiyo bukta imekaa mkao kama boxer na hii ni mwaka jana tu.
Kuna jamaa mwingine alipata ajari ya jeck(jack harmer) kwa wale wachimbaji wa dhdhabu wa mgodini (miner) wanaijua.
Huyu jamaa alikuwa katika majukumu yake anapiga kazi huku kavaa PPE (overall) jeki ile ili mrusha akaanguka na kuzimia basi haraka wenzake wakatoa taarifa ili aje achukuliwe na kupelekwa clinic haraka.
Basi kuharakisha kumtoa ile overall ikabidi ma nurse waichane kwa mkasi kukuta jamaa kavaa tight ya kike kila mtu alipigwa butwaa. Jamaa alikuwa anataniana sana na watu hasa wakulya na wajaruo maana yeye alikuwa muhaya.
Hii ilivuma sana hapo mgodini ...............
Wanawake mnaona mengi sana hivi huwa hamtucheki kweli kwa vituko vya aina hii?
Kuzuia maumivu ya adhabu ya viboko makalioni.Nakumbuka shule o level kuvaa bukta ya jeans ilikuwa kawaida kabisa. Utakuta mtu ana kiuno kipana kumbe ni jeans amevaa. Hii ilikuwa kwa wote, wake kwa waume...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kawahida mkuu kipind hicho nipo uboyzin kutupa boxer mpk hiwe sket