Wanawake mnaona mengi sana hivi huwa hamtucheki kweli kwa vituko vya aina hii tuwapo faragha?

Waafrika tuna kazi sana kwakwel. Wakati vijana katika nchi zilizoendelea wanafanya utafiti zenye maana kwa nchi zao huku kuna watafiti wa chupi na boxer zilizotoboka.
Huo utafiti uliobaki fanya wewe mkuu hakuna aliyezuiliwa kila mtu anafanya anachoweza
 
Kuna jamaa yangu tukiwa form 3 alikua anapendeza nje tu uniform lakni ndani jalala.nlikua nikikaa nae ananukia harufu ya shahawa inaonekana alikuaa akiota nadinya usiku anaamuka hivo hivo na boxer yake pensi chafu.sasa kuna siku nimekaa nae back benchez akaja demu fulani alikua anamzimia katika story za hapa na pale na joto class si akasema atoe shati abaki na vest mama yangu hiyo vest ni white lakni imekua chafu kama imepigwa kombola la masafa.dafeki ilibidi niinamishe kicha chini ya dawati nicheke kimya kimya mjuba asistuke.demu naona nae aliona hili popoma akalikataa na mbususu halikuwahi pewa.then demu akaja kua wangu
 
Daaaah hyo jamaa hafai asee
 
Mi nilidhani wanaume tunavyobadilika nyuso na kugeuka kama mashetani wakati wa kunaniliu!

Wengine kuachama na kuchuruzikwa udenda midomo wazi kabisa!

Wapo wanaowehuka na kutoa miadi ya kikwete isiyotekelezeka!

Nilidhani unataka kina mama waeleze vituko wakumbanavyo navyo wakati boss anachuchumia kwenye kilele cha mount Meru, kumbe mavazi ya sirini, kuna udhaifu mwingi sana katika eneo hilo pia!
 
kUNA DOGO ALISEMA MARA YA KWANZA KUFIKIA MSHINDO ALIKATA GOGO PALEPALE
 
Au walishatatuliwa marinda?
Mimi huwa napiga story na madogo (wafanyakaziwa daywaka) hasa wanao anza kuingia kwenye mahusiano
huwa na cheka sana. N huwa hawagopi kutoa visa vyao wakijua ni kawaida tu labda.

Mwingine alisema alipitiwa na usingizi kama kazimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…