Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Wanaume wengi mnavyolalamika utasema kana kwamba ninyi ndiyo mna mapenzi ya dhati sana kwa wanawake wakati ninyi wenyewe mnachofuata kwa wanawake in the first place ni ngono tu! Siku hizi mapenzi ya dhati hakuna ni mwendo wa kuviziana huyu anataka ngono kwa mwenzie huyu anataka fedha kwa mwenzie!
Si hata ninyi wenyewe mnasemaga kuwa kwenu hisia na ngono ni vitu viwili tofauti kwamba eti mnapofanya na wanawake haimaanishi kuwa mnawapenda bali mna uwezo wa kufanya hata na msiowapenda! Sasa hapa mbona mnalalamika wanawake wanapokuwa hawana hisia na ninyi wakati hata ninyi hamna hisia nao!
Halafu unakuta mwanaume una wapenzi saba na wote unawaambia unawapenda utawaoa hivi hao wanawake unafikiri kuna atakayekuwa na imani na wewe kweli hapo? Kila mmoja lazima awe na mashaka maana hajui nani kati yao utamuoa na kina nani utawaacha maana wanaume ndiyo huwa mnajua mwanamke mtakayemuoa!
So hapo hao wanawake wanakuwa washajua kuwa pale wanachezewa tu hivyo kwa kujihami nao inabidi wapate chochote kitu kutoka kwenu hata wakiachwa inakuwa haiwaumi sana kama ambavyo wangekuwa wanatoa tu bure! Kumbuka mwanamke unavyomuacha unakuwa umempotezea muda tofauti na wewe mwanaume huna cha kupoteza!
Sasa wanawake wanaona kwa vile wao wanapotezewa muda na ninyi hamna cha kupoteza basi wacha wawapotezee pesa zenu ili ngoma iwe draw! Halafu kinachoshangaza unakuta na mwanaume aliyeoa naye anamlalamikia mchepuko wake kuwa anapenda hela sasa huyo ni mchepuko na ni dhahiri hauwezi kumuoa unampotezea tu muda sasa kwanini usimhudumie!