Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Wanaume wengi mnavyolalamika utasema kana kwamba ninyi ndiyo mna mapenzi ya dhati sana kwa wanawake wakati ninyi wenyewe mnachofuata kwa wanawake in the first place ni ngono tu! Siku hizi mapenzi ya dhati hakuna ni mwendo wa kuviziana huyu anataka ngono kwa mwenzie huyu anataka fedha kwa mwenzie!

Si hata ninyi wenyewe mnasemaga kuwa kwenu hisia na ngono ni vitu viwili tofauti kwamba eti mnapofanya na wanawake haimaanishi kuwa mnawapenda bali mna uwezo wa kufanya hata na msiowapenda! Sasa hapa mbona mnalalamika wanawake wanapokuwa hawana hisia na ninyi wakati hata ninyi hamna hisia nao!

Halafu unakuta mwanaume una wapenzi saba na wote unawaambia unawapenda utawaoa hivi hao wanawake unafikiri kuna atakayekuwa na imani na wewe kweli hapo? Kila mmoja lazima awe na mashaka maana hajui nani kati yao utamuoa na kina nani utawaacha maana wanaume ndiyo huwa mnajua mwanamke mtakayemuoa!

So hapo hao wanawake wanakuwa washajua kuwa pale wanachezewa tu hivyo kwa kujihami nao inabidi wapate chochote kitu kutoka kwenu hata wakiachwa inakuwa haiwaumi sana kama ambavyo wangekuwa wanatoa tu bure! Kumbuka mwanamke unavyomuacha unakuwa umempotezea muda tofauti na wewe mwanaume huna cha kupoteza!

Sasa wanawake wanaona kwa vile wao wanapotezewa muda na ninyi hamna cha kupoteza basi wacha wawapotezee pesa zenu ili ngoma iwe draw! Halafu kinachoshangaza unakuta na mwanaume aliyeoa naye anamlalamikia mchepuko wake kuwa anapenda hela sasa huyo ni mchepuko na ni dhahiri hauwezi kumuoa unampotezea tu muda sasa kwanini usimhudumie!
 
Wanaume wengi mnavyolalamika utasema kana kwamba ninyi ndiyo mna mapenzi ya dhati sana kwa wanawake wakati ninyi wenyewe mnachofuata kwa wanawake in the first place ni ngono tu! Siku hizi mapenzi ya dhati hakuna ni mwendo wa kuviziana huyu anataka ngono kwa mwenzie huyu anataka fedha kwa mwenzie!

Si hata ninyi wenyewe mnasemaga kuwa kwenu hisia na ngono ni vitu viwili tofauti kwamba eti mnapofanya na wanawake haimaanishi kuwa mnawapenda bali mna uwezo wa kufanya hata na msiowapenda! Sasa hapa mbona mnalalamika wanawake wanapokuwa hawana hisia na ninyi wakati hata ninyi hamna hisia nao!

Halafu unakuta mwanaume una wapenzi saba na wote unawaambia unawapenda utawaoa hivi hao wanawake unafikiri kuna atakayekuwa na imani na wewe kweli hapo? Kila mmoja lazima awe na mashaka maana hajui nani kati yao atamuoa na kina nani utawaacha maana wanaume ndiyo huwa mnajua mwanamke mtakayemuoa!

So hapo hao wanawake wanakuwa washajua kuwa pale wanachezewa tu hivyo kwa kujihami nao inabidi wapate chochote kitu kutoka kwenu hata wakiachwa inakuwa haiwaumi sana kama ambavyo wangekuwa wanatoa tu bure! Kumbuka mwanamke unavyomuacha unakuwa umempotezea muda tofauti na wewe mwanaume huna cha kupoteza!

Sasa wanawake wanaona kwa vile wao wanapotezewa muda na ninyi hamna cha kupoteza basi wacha wawapotezee pesa zenu ili ngoma iwe draw! Halafu kinachoshangaza unakuta na mwanaume aliyeoa naye anamlalamikia mchepuko wake kuwa anapenda hela sasa huyo ni mchepuko na ni dhahiri hauwezi kumuoa unampotezea tu muda sasa kwanini usimhudumie!
Yaani umeongea Mambo mazitooo... Umemaliza yotee
 
Yaani hata sikuelewi stress inatoka wapi hapo?ushampa demu wako kiasi flani kaenda salooni kanunua tunguo twake tea mitego kapendeza kaja kwako hujisikii Raha kweli?au mnataka tuje kwenu Kama machizi tuliorogwa?
Yaan nilichogundua kuna wanaume wanataka ukiwa nae kwene mahusiano usiombe chochote...kuna mwingine akiombwa hata vocha tu anakuja kuandika gazeti.
 
Yaan nilichogundua kuna wanaume wanataka ukiwa nae kwene mahusiano usiombe chochote...kuna mwingine akiombwa hata vocha tu anakuja kuandika gazeti.
Yaani ndio kizazi tulichopo,tuna Vijana wa hovyo kabisa!Waoga Sana wa majukumu Hawa...ndio maana siku hizi ukitaka kutongozwa swali la kwanza unafanya wapi kazi?kazi inahusianaje na upendo wako,hujakaa vizuri utasikia bby unawezea niongezea laki tatu nimekwama mahali.....haaaaaaa😳😳😳😳😳😳😳...Wanapenda mseleleko hawataki kutimiza majukumu Kama heads mi siwaelewi kabisa
 
Kwamba wanawake wote wenye mahusiano wanagongwa nje? Ww fanya kwa nafas yako akikushinda muache ila mpunguze ubahili wanaume.
Huo ujinga wa kupoteza hela sifanyi😅 yani mwanamke uhudumie for selfish reasons aanze kuliwa nje ikifika hapo pesa na vitu ulivyomnunulia uwe umekula hasara.

Sahizi ni nakupa hela namie nikikwama unanipa tunakwenda kwa mtindo huo ili adabu iwepo. Ili hata wakati unaenda kufanya umalaya wako ujue kabisa ile playstation 5 ulioninunulia siku nikikufumania inakuwa imekula kwako kama ambavyo iphone 12 pro max niliokupa mimi itapotea.

Lazma upate uchungu wa breakup ili next time uwe na akili!
 
Yaan nilichogundua kuna wanaume wanataka ukiwa nae kwene mahusiano usiombe chochote...kuna mwingine akiombwa hata vocha tu anakuja kuandika gazeti.
😅😅😅😅😅😅😅 wanaume wanalalamika sababu licha ya huduma mahusiano hayo hayadumu na mwisho wa mahusiano aliejitoa sana ndie anaishia kuwa kwenye hasara.

Its not worth it kama tutafanya mapenzi basi iwe hivyo kila mtu achukue 50 zake!
 
Tatizo msipoombwa hamjiongezi, we unamzagamua binti wa watu alafu hata pedi kumnunulia hutaki, kujiongeza hata kumpa hela ya matumizi yake hutaki

haijalishi ana kazi au hana hudumia jomba acha kulalamika, usitake kula kula usichokihudumia unless uendelee na mafuta na sabuni[emoji23]
Ebu agiza chochote dear nilipe
 
Unaomba pesa za kazi gani au unaomba tu kwa sababu umeitwa mpenzi? Do you have solid reasons kwanini unaomba hela? Huna kazi?
Kuwa na kazi sio kigezo eti nisikuombe pesa...dear men pendezesheni maua yenu
 
Kuwa na kazi sio kigezo eti nisikuombe pesa...dear men pendezesheni maua yenu
Kama nishakuoa nitafanya hilo ila ni kama tupo level ya kwanza ya dating kwa tabia za wanawake wa kileo utachora chini! Demu mmoja ana mabwana 6 halafu wote mnaombwa hela.

Strictly mapenzi tu huduma atakuhudumia baba yako.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wanaume wanalalamika sababu licha ya huduma mahusiano hayo hayadumu na mwisho wa mahusiano aliejitoa sana ndie anaishia kuwa kwenye hasara.

Its not worth it kama tutafanya mapenzi basi iwe hivyo kila mtu achukue 50 zake!
Kuna mahusiano mengne wanaume wenyewe ndio mnazingua alaf mtakuja kusema hapa nimegharamia sana afu nimeachwa sasa. Yaan unavyoongea ni kama wakat wote wanawake ndio tunazingua mbona nanyie mna madudu kibao ila kwa sababu tu ndio mnatoboka zaidi mifuko lawama zote kwetu.... Extro toa hela buana wacha maneno zingi
 
Back
Top Bottom