Wanawake mnaosimama kanisani kweli mmekosa wachumba na wanaume?

Sahii kabisa,
Kuna wadada wanaona kudanga mjini ndio dili, muda wa kuolewa Bado.

Wanaume tukishaonja tunaambizana,
Wakishakuonja wawili watatu tayar sifa ya kua MKE inapotea. Labda uhame mji.

Siwez kuoa mwanamke amewahi kuliwa na rafiki zangu,

haileti heshima kumtambulisha mkeo kwa shemeji Yake ambae Ni ex wake wa zamani (alishawai kumchojoa chupi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya madini nimescreenshot
 
Wanaume wavumilivu Hao ni wanchi gani kaka
 
Tabia
Ya wanawake hio akishakosa options anakuja kwa ukali eti oh tusameheane tugange yajayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ akifeli kabisa anawahi kwa mwamposa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah
 
Wengine wananunuliwa na wachungaji
 
Hata wakipata wataendekea kuomba mpya
 
Unaponda wenzio na kusifia chako πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwan mwamposa ndio aliwalea... Usitumie Kanisa kumuondoa mwanamke kwenye Mizengwe yake.
Rejea taraka utajua hao wa Madrasa nao chengaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…