Wanawake, mnaponyaje maumivu ya kusalitiwa na wenza wenu?

Kwahio bby wako unampiga matukio tu, mnapigana vita baridi😅
 
Hapo mume anatakiwa awe mpole kupitiliza, ndiyo imani itarudi na upendo arudishe yeye kuanzia kwa watoto na mama yao ndiyo utajenga imani asipofanya hivyo hutamuamini ng'ooo
 
Una Kibeten chako KINAKUKOJOZA ukirudi home TULI unajikausha kama siye vile hahahahahahahahaha

 
Mhhhh!!!, Kwamba wao sio wachepukaji??.Ungejua, walivyo wasiri kiasi Cha wewe kutojua kirahisi,usingecomment hivi.
Hujanielewa mkuu, wanawake nao huchepuka ila si kwa kiwango kikubwa kulinganisha na ME.

Uvumilivu ninaozungumzia ni ile anakuta umechepuka tena zaidi ya mara moja anasemehe na maisha yanaendelea huo ni uvumilivu.

Mwanaume kumvumilia mwanamke mchepukaji huwa ni nadra, au labda kama umewekewa limbwata
 
Lkn kuchepuka ni nature ya Wanaume na siyo ya Wanawake, ndio maana hata kwenye Ufugaji unakuta tetea kumi wanapandwa na jogoo mmoja, ng'ombe jike 15 hadi 20 wanapandwa na dume moja.Lkn huwezi ona Madume mengi eti yanategemea kupanda jike mmoja.
 
The herb heals your mind,soul and body....


 
🤣🤣🤣🤣 lakini hii si ndoa ni ushahidi wa kuzuga walimwengu kwamba ni mke na mume kumbe anayekutoo kwa zaidi ya mwaka ni kibeten. Mume hajakutoo zaidi ya miaka miwili hata K yako hajui tena inafananaje au inanukia vipi. Hii si ndoa kwa maoni yangu.

Sure kibeten ukitoka hamu zimeisha hata mda wa kugombana na baby huna aisee. Wale wanaojifamya wema kwenye ndoa ndoa zao hufa mapema sana
 
Ukisusa wenzako wanakula, ukitoa gem under perfomance ataenda kupewa na malaya wananyonya hadi mbupu
 
Anasubiri nn kumuacha??

Ngojeni niwaambie... majuto yaliwekwa kwa sababu hiyo.


Mwambie amuache.
 
Mwanaume hasusiwi dadangu, yeue ana nafasi ya kuacha na kuoa tena, ana nafasi ya kuongeza mke wa 2. Haya wewe unayevuta mdomo ukamnunia ukiachwa mandazi yanakudodea, ukipata mchepuko wanao watakuadhibu baadae kwa kumsaliti baba yao. Mwanaume ukiona amejirudi shikilia hapohapo usijekupoteza kila kitu. Hata maandiko hayajasema mwanaume mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake, bali yamemtaja mwanamke.
Chukua ushauri wangu dadangu utalia sana mbeleni. Afadhali huyo anakupa unyumba nusunusu mm mke wangu tuna mwaka wa 2 na zaidi sijamgusa na sina hata ham naye naye ana akili kama yako napanga kuoa bi mdogo
 
Ni mwendo wa vita baridi tu, Mimi hata nimkute live naona tu kawaida, swala la ku mind Sina kabisa sijui ndio hisia zimekufa vile?
Hahahahahah mapenzi yenu yameshatoka kwenye honeymoon yapo kwenye dormant phase 😅 hapo ndipo ambako ishu ni ada, kodi, mafundi, ujenzi na michango!

Kutiana mara moja moja sana!
 
Lkn kuchepuka ni nature ya Wanaume na siyo ya Wanawake, ndio maana hata kwenye Ufugaji unakuta tetea kumi wanapandwa na jogoo mmoja, ng'ombe jike 15 hadi 20 wanapandwa na dume moja.Lkn huwezi ona Madume mengi eti yanategemea kupanda jike mmoja.
Hiyo asili wengi hawajakubaliana nayo, kwa hiyo kinachowasaidia ni uvumilivu tu.
 
Malaya mkubwa wewe,subiri Ukimwi mjinga wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…