Wanawake, mnaponyaje maumivu ya kusalitiwa na wenza wenu?

Duh!!!!
 
Hawa wanaume wa siku hizi wanavyojua kukitembeza

Usipokuwa na wa kukutoa stress huko pembeni hakuna rangi utaacha kuona.
 
Naunga mkono hoja.
 
Ngoja niwe msomaji maana ni kama umeniandikia huu uzi. Nimeshindwa kabisa kurudi katika hali ya awali na kuzaa zaidi nimesitisha rasmi, wanangu wawili wananitosha na ndio niko busy nao. Yeye aendelee tu na mambo yake hata sijali tena.
Usiishie hapo tu, tafuta wa kukukojoza vizuri. Ukirudi home unapiga mapambio tu wala huna habari.
 
Ngoja niwe msomaji maana ni kama umeniandikia huu uzi. Nimeshindwa kabisa kurudi katika hali ya awali na kuzaa zaidi nimesitisha rasmi, wanangu wawili wananitosha na ndio niko busy nao. Yeye aendelee tu na mambo yake hata sijali tena.
Safi sana life is too short to be stressed na mtu uliyekutana naye utu uzima. Find ur own happiness timiza ndoto yako uta enjoy life
 
Hawa wanaume wa siku hizi wanavyojua kukitembeza

Usipokuwa na wa kukutoa stress huko pembeni hakuna rangi utaacha kuona.
Wanaume wote tu wanafanana tabia za uhuni na umalaya Sasa wewe mwanamke kuwa mpole hakufanyi vizuri kumbe ana michepuko kumi wewe unaumia unajifanya mtakatifu utajutra wallah siku akikuletea vitoto vya nje huku ma hechibii na wat...ji wazuri ulikuwa unawakataa hapo ni mwanzo wa maumivu ya kudumu, ila ungekuwa na watu wako wawili watatu umalaya wa mumeo hakuumizi na ndoa haifi.
 
Hahahahahah mapenzi yenu yameshatoka kwenye honeymoon yapo kwenye dormant phase [emoji28] hapo ndipo ambako ishu ni ada, kodi, mafundi, ujenzi na michango!

Kutiana mara moja moja sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] very true mzee baba kila mtu atafte furaha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…