NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Niseme ukweli kabisa hata mimi nilishakutana nazo hizo, tena kwa wanawake kadhaa, huwa wanataka hurumaHabari zenu wanajamvi.
Moja kwa moja kwenya mada kiukweli wanawake huwa hawajielewi kabisa yaani upo kwa kitanda na mwenzi wako unaanza stori za mwanaume aliekutoa bikra mlivyo wajinga huwa mnawasifia sana.
Mwanamke miaka thelathini na tano kwenda juu hivi hujui stori sahihi za kuongea na mwenza wako?
Kuna mwanamke mmoja nilitaka nimuoe miaka ya 2019 nikabadili mawazo sababu ya stori hizo za kijinga mbaya zaidi kwenye diary yake nilikuta mawasiliano (namba ya simu ,barua pepe) ya jamaa yake alievunja kikombe.
Si huyo tu kuna wanawake kama saba hivi nilikuwa nao kwenye mahusiano stori ni hizo tu,nimeamua kuja na staili ya 'kata funua' nikikutana mwanamke tunamalizana hakuna kugandana.
Nikafanya utafiti kwa rafiki zangu kama kumi hivi juu tabia hiyo ya wanawake nilipata majibu ya kinachonikuta mimi.
Nikawasiliana na babu yangu juu ya jambo hili na akanijibu mwanamke usiemtoa bikra si wako..
Lakini nikaja kwenye baadhi ya Imani za kidini nikagundua nazo zinasisitiza umuhimu wa kuoa mwanamke bikra.
Kwanini mnakiongelea sana hiko kidude wakati mnasema hakina maana?Mwanaume ambaye unaogopa kumpoteza hata kuzungumza unaona dhambi😅
Kidude kipi hakina maana? Hakuna kidude kisichokuwa na maana..Kwanini mnakiongelea sana hiko kidude wakati mnasema hakina maana?
si mlisema background status ni muhimu au😄,,,Habari zenu wanajamvi.
Moja kwa moja kwenya mada kiukweli wanawake huwa hawajielewi kabisa yaani upo kwa kitanda na mwenzi wako unaanza stori za mwanaume aliekutoa bikra mlivyo wajinga huwa mnawasifia sana.
Mwanamke miaka thelathini na tano kwenda juu hivi hujui stori sahihi za kuongea na mwenza wako?
Kuna mwanamke mmoja nilitaka nimuoe miaka ya 2019 nikabadili mawazo sababu ya stori hizo za kijinga mbaya zaidi kwenye diary yake nilikuta mawasiliano (namba ya simu ,barua pepe) ya jamaa yake alievunja kikombe.
Si huyo tu kuna wanawake kama saba hivi nilikuwa nao kwenye mahusiano stori ni hizo tu,nimeamua kuja na staili ya 'kata funua' nikikutana mwanamke tunamalizana hakuna kugandana.
Nikafanya utafiti kwa rafiki zangu kama kumi hivi juu tabia hiyo ya wanawake nilipata majibu ya kinachonikuta mimi.
Nikawasiliana na babu yangu juu ya jambo hili na akanijibu mwanamke usiemtoa bikra si wako..
Lakini nikaja kwenye baadhi ya Imani za kidini nikagundua nazo zinasisitiza umuhimu wa kuoa mwanamke bikra.
Uwiii nimekumbuka kitu🫢si mlisema background status ni muhimu au😄,,,
alf uache ubaguzi mbona hata wanaume huwa mnaeleza habari za maex zenu
olu in olu ukiona mtu anakusimulia habari za bebe wa zamani ujue haja move on
Sawa. Mtahukumiwa kwa haya haya.Kidude kipi hakina maana? Hakuna kidude kisichokuwa na maana..
Hebu funguka vizuri nikuelewe mkuuSawa. Mtahukumiwa kwa haya haya.
hebu ninong'oneze mahiii1😄🤭👌Uwiii nimekumbuka kitu🫢