Wanawake mnatuboa sana wanaume na stori za 'ma -X' wenu waliowatoa bikra, kama mlipendana kwanini mliachana?

Ogea maji ya chumvi changanya mdalasini na pilipili manga utoe nuksi.

Pia mmekutana wewe na marafiki zako pamoja na babu yako mna damu sawa.
 
Pole Sana, muachie muumba.
 
huo ujinga sijawahi kuambiwa, na akiniambia ntamsikiliza kwa makini kisha maneno yake nayafunga kwenye gazeti, namwacha ajisahau kabisa kisha namrudishia na stori yangu ya siku ya kwanza kubandua demu, atajiona bonge la fala ntakavyoelezea hisia nlizozipata

inshort michezo ya kucheza na mioyo na hisia mm ni expert na nna bluetick. tena kwa wanawake walivyo weak asimwage kabisa ugali mbele yangu, mm ntamwaga mboga nabomoa na jiko
 
Kuzungumzia sio shida mtu anaweza zungumza na hamaanishi chochote , ni stories tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…