Wanawake mnatuboa sana wanaume na stori za 'ma -X' wenu waliowatoa bikra, kama mlipendana kwanini mliachana?

Ukiona hivyo X alikua wa moto sana
Kuna mawili hapo
X alimuachia vidonda πŸ’”
Au bado anampenda

Pole sana
 
Mwanamke akishamiliki smartphone na tiktok account bikra hana huyo sasa unazungumzia online ya wapi
 
Kumbe! Sikuwa najua hili, sasa huwa mnatuletea habari zao huku za nini? Mwingine kaenda mbali kaanza kusaka humu!
Hawa wanaotaka bikra sijui ni kina nani wallah Mungu ana watu wengi sanaπŸ˜€
 
Kuongeza msisitizo wa umuhimu wa bikra kwa binti mpaka kuolewa
Hivi hata kama huna akili, ukaanze kumshauri mtu asiye na hiyo bikra umuhimu wa bikra wakati hawezi kuirudisha? Zungukieni mashule huko mkahubiri! Jambo dogo hili linawashindaje kufikiriπŸ€”
 
Sema huyo mwanamke wako ameshajua huna akili. Mwanaume anayejielewa hawezi pewa stori za x wa mwenza wake
 
Hivi hata kama huna akili, ukaanze kumshauri mtu asiye na hiyo bikra umuhimu wa bikra wakati hawezi kuirudisha? Zungukieni mashule huko mkahubiri! Jambo dogo hili linawashindaje kufikiriπŸ€”
Jukumu lenu ninyi wanaiga kupitia kile waonacho kwa baadhi ya slayqueen
 
Jukumu lenu ninyi wanaiga kupitia kile waonacho kwa baadhi ya slayqueen
Slay queen wapo wangapi bwana wee! Huko kwao kuna maslay queen? Akiangalia wazazi wake na ndugu anapata picha gani?
 
Kwa usalama wa nafsi Yako mwanaume HAKIKISHA UNAOA MWANAMKE BIKRA
 

Attachments

  • FB_IMG_1778217195923.jpg
    88.8 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…