YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
๐๐๐๐ Wacha weee!!........๐nimekuja mbiombio nikajua umenitaja, kumbe unazidi kunikatisha tamaa๐๐, nipo kwa bedi ngoja nilale tu, siku imeisha vibaya hii........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐ Wacha weee!!........๐nimekuja mbiombio nikajua umenitaja, kumbe unazidi kunikatisha tamaa๐๐, nipo kwa bedi ngoja nilale tu, siku imeisha vibaya hii........
Nikulindie nini wifi? ๐๐๐๐ ๐ ๐ weyeee hata ukiogelea siku hiyoo.. nilindie maana waja hawachelewi niletea uchawi wao
ewaaa.. asijazweee maneno na waja.. ๐ ๐ ๐ ..Nikulindie nini wifi? ๐๐๐
Limeisha mbona utafurahi wewe broewaaa.. asijazweee maneno na waja.. ๐ ๐ ๐ ..
nakuaminia ๐๐๐Limeisha mbona utafurahi wewe bro
Kusema kweli hapanaTuambieni jamani wanawake ukiona ID yanani humu unaanza kupata hisia za mapenzi sema tu basi tujue siri sio nzuri.
Naombeni mushuke
Nimeshafatwa pm na vitiaho vizuri .....dah inabid nilog out๐ ๐ ๐ sina mke humu.. ila jiandae kuletewa file zito sana.. ila hakuna atae jitokeza hapa kuni claim mie ni wake.. watahakikisha sikuvutiii.. huko najua wameisha kaa vikao.. kuja kunichafua
๐คฃHujanijibu kitu sasa kipenzi huyo dada mnamahusiano naye ??
Bwana wa namna hiyo wakuitwa" baby sandakarawe"๐๐๐Hivi huwa wanakutana kweli? Mimi najua utani tu!! Basi kazi ipo ndio hao wanaletwa baadae wamepasiana mpira?
Bwana mmoja anatembea na marafiki wote?
Mleta Uzi ni free soul,anajiongeleaga tu ukweli ,ila watu wanajifanya sio Kweli kumbe kila mtu ana bby wake anayemtamani๐ ๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃNi maono yake na huenda ameona tunavutiana kiukweli kweli humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] komaa mlongo.Huyo asikupe tabu sweetheart ni jirani yangu huko Songea, Nyumbi hii bombi hii[emoji16]