Atlantic Star
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 539
- 1,696
......😊umemkamata!! kumbe uzi huu umeanzishwa kimkakati......Hiki comment ndio kiini Cha Uzi🤣🤣🤣
Kabisa.......
......😊umemkamata!! kumbe uzi huu umeanzishwa kimkakati......
Uneamka mcute?Watakufwaa huoni wanavyochungulia kwa mbali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie tulale muda umeisha
Baby na wewe umeshakutana nao?Nasubiri mrejesho mtu atueleze alivyokutana na kibwengo.
Hata pm nimeifunga.Nakemea kibwengo wapite mbali.Aaameen🙏😂Baby na wewe umeshakutana nao?
Safi babe.. jana uliquote mahali nakuja uzi umefungwa[emoji16]Hata pm nimeifunga.Nakemea kibwengo wapite mbali.Aaameen[emoji120][emoji23]
Uzi wa makasiriko ule.Hatari!Safi babe.. jana uliquote mahali nakuja uzi umefungwa[emoji16]
Umeona ee🤣🤣Mleta Uzi ni free soul,anajiongeleaga tu ukweli ,ila watu wanajifanya sio Kweli kumbe kila mtu ana bby wake anayemtamani😅👍👍
Nimekumiss
😂😂😂😂Siamini macho yangu warahi... mkuu mwaka wangu huu 😊😊😊.. sema hii kama nimetangaziwa vita mkuu.. PM huko lazima nikachafuliwe sana, wahakikishe nalala njaaa.. maombi yako tu Bro.. nivuke hapa
Funga PM iba bwana kale naye maisha wasikuzingue wakizidi tutatangaza vita mume hakuna mume wapeke yakeNimeshafatwa pm na vitiaho vizuri .....dah inabid nilog out
Mkakati upi wewe subiri utajwe......
......😊umemkamata!! kumbe uzi huu umeanzishwa kimkakati......
Nimeshatoa kabla ya hii mkanyamazaNa sisi mje mtuulize tunavutiwa na wanawake gani humu
We unavutiwa na nani🤣🤣🤣Ni maono yake na huenda ameona tunavutiana kiukweli kweli humu
Niliyenae home huku mkuuWe unavutiwa na nani
🤣🤣Atakae nitaja kabla hajafanya hivyo naomba ani Pm tuyajenge...😋
Pole..Nimeshafatwa pm na vitiaho vizuri .....dah inabid nilog out