Wanawake mnavutiwa na nani humu JF?

Wanawake mnavutiwa na nani humu JF?

Kipenzi changu Mjep nakuacha song zuri la enzi zangu za sumalee
Usikilize kwa ufasaha kuwa hakunaga zaidi yetu


Afu sikuona hii ndiomana ulisema nimeiga? Unajua nilikua najiimbia tu maua [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afu sikuona hii ndiomana ulisema nimeiga? Unajua nilikua najiambia tu maua [emoji23][emoji23][emoji23]
Kaa kwa kutulia unaletewa mafile yangu yote hadharani siunapenda umbeya kaa karibu usiende mbali
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hao wamcheki balozi wa tanzani aliepo marekani.. mie mwisho kuwapeleka ni kigamboni tu hapo kule pweza

Kumbe kuna watu unawapa connection za mambele na husemi? Watu mna siri khaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom