Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Itabidi ujifunze ndondi, ndoa za sasaiv zataka kujipanga kwa mbinu zote😂 uwe mkimya, mwenye busara hekima, mchapakazi, mwanasaikolojia, mjasiriamali, mwana mieleka, mwenye kidomo,, kahaba kitandani, mlezi na mzazi,, kazi tuko nayo walahiKwa shuhuda hizi za hivi karibuni
Unaweza shangaa nakutana na Mandonga mtu kazi,ni mwendo wa ngumi tu humo ndani 😂