Wanawake mnawezaje kuishi na mwanaume anayefokafoka?

Wanawake mnawezaje kuishi na mwanaume anayefokafoka?

Mamy K said:
Huko kwenye kumpea hafoki, kwanza sijawahi kumnyima toka anioe....ye mwenyewe anakiri hilo.
Ila hebu fikiria labda namtengea chakula, bahati mbaya wakati naweka glass mezani nikosee hesabu glass ijigonge, jamani atafokaaa, Yani atanifokea Kama mtoto.
Mkuu, nimekumbuka kitu.

Kuna rafiki yangu mmoja alishawahi kuniambia/kuniuliza kwamba, huwa namchukulia vipi mke wake ninavyomwona?

Upole uliopitiliza nao ni shida kwa upande mwingine! Kwamba, wewe kila kitu unakubali tu hakuna hata kubisha kidogo.

Nahisi hapo kutokumnyima mumeo uroda hata siku 1 ndio kuna tatizo. Ameshakuchukia vile anakugusa tu unapanua kwamba ukikutana na baharia unalambisha asali. Huna hata amsha amsha, umnyime akubembeleze kwanza!

huenda anakuchukulia mwanamke malaya, unapenda sana ukuni! Siku ambazo hayupo ukikutana na mjuba anatelezesha tu na vile hujui kukataa.

Jichunguze na hili nalo ukalitazame kwa kina! Huenda mumeo ni aina ya wanaume kama rafiki yangu.
 
Uchumi wake upoje?

Umepanda au umeshuka ukilinganisha na kabla!
 
Muombee mume wako mnachonganishwa na roho za hasira na ugomvi.
 
Kwanza mnunie week nzima usimuongeleshe
Pili kama una mtoto mdogo ndio vzr siku akikufokea fungasha virago vyako mchana kweupe muage unaondoka ILA chonde mtoto wake mwachie mwambie tu huyu jini mavoko akisha mtoka ndio utarudi kwake
 
Elimu tuko Sawa, amenizidi kipato....Yani afoke Mimi niwashe redio, naweza Kula mateke....akifoka Mimi nikae nimsikilize, niombe msamaha....ndo nakuwa mwanamke mwenye adabu.
Kinachomfokesha sasa hata hakiingii akilini, mfano umekosea kuzima TV, umezima direct kwenye socket atafoka mashetani ya mtaa mzima yatajua....nyiee
Labda unatabia ya kurudia rudia makosa mfano hilo la kuzima Tv kwenye socket madhara yake utaunguza Tv.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
😅 naona kuna wapumbavu wanakushauri uachane naye, jichanganye ufuate ushaur wa wapuuzi kwasabab hutapata mwanaume mkamirifu na inaonekana hio tabia amekua nayo hivi karibuni kwahio wew jichunguze unamkosea wapi ili uweze kubadirika na aache kukufokea... Ukiona vipi Achana nae utapata mwanaume malaya anatomba hadi dada zako, au mlevi akiondoka ijumaa anarudi jumapil alfajiri kubadirisha nguo aende job... Enjoy your fucking marriage
 
Habari zenu jamani.

Naomba kuuliza, inawezekana mie nimesahau mafundisho ya shangazi, wanawake wenzangu mnawezaje kuishi na mwanaume anaye fokafoka? Maana mimi naona yamenifika hapa!

Huyu mwanaume amenizidi umri kwa miaka saba, sasa sijui ananichukulia mimi mdogo yake! Yaani nikikosea kitu kidogo atafoka huku ananikata jicho kali, haijalishi kuna dada wa kazi karibu, ni atafoka tu! Huyo dada wa kazi nae anafokewa hadi namuonea huruma mtoto wa watu.

Huwa nanyamaza kisha namtafutia pose zuri namwambia anavyonikwaza ila routine ni ile Ile, nahisi kukonda, kugombana nae siwezi atanibonda nife.

Naombeni mbinu jamani nifanyeje, yamenifika kwa koo mwenzenu?!
Unaogopa kubondwa?!
We endelea na mambo yako na usimwambie tena kuhusu kufoka kaa kimya kabisa, siku ukichoka kweli atajua rangi ya mwanamke alochoka na ********
 
Huko kwenye kumpea hafoki, kwanza sijawahi kumnyima toka anioe....ye mwenyewe anakiri hilo.
Ila hebu fikiria labda namtengea chakula, bahati mbaya wakati naweka glass mezani nikosee hesabu glass ijigonge, jamani atafokaaa, Yani atanifokea Kama mtoto.
Kanda maalumu nini a.k jita maana wale ndiyo zao hawanaga lugha ya mawasiliano.
 
Hakuna mwanaume anayemfokea mwanamke mpole na asiye na mdomo. jiangalie Sana. anajihami kwa kukufokea baada ya kugundua una kiburi au mdomo pistol.

Mie sio mwongeaji Wala mpigaji. Ila mwaka huu nimeanza tabia ya kumfokea wife. amebaki anaduwaa kuwa miaka 16 yote sijawahi mfokea, imekuwaje Tena? namjibu tu achague mawili, kutuliza kimdomo chake au nimzibue mateke kabisa.

wanawake nanyi mnatubadilisha sana
Kuna wengine ni tabia zao kufoka foka tena ukute ni dakika 1--2, ujue lazima ajihami ili ajulikane kama yupo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Elimu tuko Sawa, amenizidi kipato....Yani afoke Mimi niwashe redio, naweza Kula mateke....akifoka Mimi nikae nimsikilize, niombe msamaha....ndo nakuwa mwanamke mwenye adabu.
Kinachomfokesha sasa hata hakiingii akilini, mfano umekosea kuzima TV, umezima direct kwenye socket atafoka mashetani ya mtaa mzima yatajua....nyiee
Akili za bangi, unajua kuna wale watu ambao wakiwa tumboni mama zao wanapitia mambo magumu sana yana hadhiri mpaka mtoto, na malezi pia huchangia
 
Elimu tuko Sawa, amenizidi kipato....Yani afoke Mimi niwashe redio, naweza Kula mateke....akifoka Mimi nikae nimsikilize, niombe msamaha....ndo nakuwa mwanamke mwenye adabu.
Kinachomfokesha sasa hata hakiingii akilini, mfano umekosea kuzima TV, umezima direct kwenye socket atafoka mashetani ya mtaa mzima yatajua....nyiee
Hahaaa wew dada umekuja kutuchekesha uku
[emoji23][emoji23][emoji23] Eti kukozea kuzima tv anafoka jmn kabila gani huyu jamaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume ambae anaweza kuwa na mwanamke Kama wewe kwanza apewe heshima yake. Mwanamke gan huna akili hata moja
 
Elimu tuko Sawa, amenizidi kipato....Yani afoke Mimi niwashe redio, naweza Kula mateke....akifoka Mimi nikae nimsikilize, niombe msamaha....ndo nakuwa mwanamke mwenye adabu.
Kinachomfokesha sasa hata hakiingii akilini, mfano umekosea kuzima TV, umezima direct kwenye socket atafoka mashetani ya mtaa mzima yatajua....nyiee
Kumbe tv hupaswi kuzima sirect kwenye socket😲😲😲😲
 
Back
Top Bottom