Kufoka Mara moja si vibaya! Lakini kufoka kila muda HAIFAI! na inakera sana!
Mimi ni mwanaume nafaham kuna maudhi madogo ya mke kukosea vitu vidogo ndani ya nyumba!
Chanzo kikuu huwa ni kutokuyafanyia kazi maelekezo ya awali.
Mfano, mume anaweza kuwa hapendi vyakula vya mafuta anakueleza kwa upole kwamba usiweke mafuta iwe chukuchuku tu kama ni nyama n.k unaitika sawa! Lakini kesho yake unapika nakuunga na mafuta,
Anakula anakukumbusha tena mafuta hapendi, unaitika sawa, baada ya siku tena unampikia mafuta mafuta!
Hapo huwa inaanza kuibua makasiriko taratibu,
Kingine akikutuma kitu anakupa maelekezo vizuri lakini ukienda hufanyi kama alivyokuagiza akirudi anakuta umedambanga dambanga hovyo, mbaya zaidi hata na pesa umetapeliwa Hii hupandisha kiwango cha KUFOKA!
Kuna mambo ambayo mke akiyakosea kosea kila wakati mwanaume huanza kuwaza mbona kule wanawake wengine wanaelewa na kujisimamia vizuri lakini huyu Pimbi wangu hanielewi navyomulekeza!...hivyo mambo haya hupandisha hasira taratibu hadi mwanaume ANAKUWA WA KUFOKA FOKA!
Ingawa SAA NYINGINE KUNA WANAUME WAKORA Hasa wa kichaga wanapenda kufoka tu kama fala paspo sababu! Wa hivi hawana tiba hata umlambe miguu dawa nikuondoka, kama huwezi kutoka basi tafta mchepuko akugongee taratibu siku ziende!
TURUDI mume ambaye tabia za mke kukosa umakini kwenye maelekezo ya Mme!
Mume wa hivi tiba yake ni kwanza kutambua unakosea! Dawa yake ni kutafta muda kumkalisha mume na kumuahidi kwamba UTAONGEZA UMAKINI na USIKIVU kwake.
pili kama kitu hujaelewa muulize MUME WANGU ULICHONITUMA SIJAELEWA Ebu nielekeze tena! Usifanye kama hujaelewa! Hii itaanza kushusha masiriko na kuongeza imani kwamba unaweza Fanya vizuri kwa kuhisimamia!
Akikutuma kitu hakikisha unarudi kimetiki, hii inaongeza sana imani kwa mume anaona na kujisifu.
Mimi na mke wangu ananikera sana kwenye ishu ya maelekezo! Unaweza mwambia njoo hapa POSTA ASKARI MONAMENT! anakuitikia sawa ...lakini utashangaa anakwambia nimefika njoo, ukimuangaza haonekani, ukimuuliza ebu nisomee jengo lolote unaloona hapo utasikia anakujibu naona pameandikwa CENTRAL POLICE!
unamuuliza ulinielewa nilivyokuambia uje mnara wa askari? Anakujibu dear ndiyo ebu nielekeze mi nilizani sentro!
Mara nyingi sana ananikwaza kwasababu wakati wa kumpa maelekezo huwa haelewi na wala haulizi! Mambo hayo huibua sana hasira!
Kibaya zaidi ukimwambia naomba nikufundishe kutumia GpS uwe unasoma location anakujibu anaelewa! Lakini maelekezo haelew!
KIBAYA ZAIDI ANAONA SAWA TU SHE IS PERFECT UKIMKOSOA MBISHI!
sasa MTU kama huyu kwakweli anachangia sana makasiliko na kuondoa mudi hata kutoka!
Mwanamke anaesikiliza maelekezo ni MZURI SANA! Kwanza huwa anaongeza ujasiri kwa mumewe!
Kuna wanawake ukiwa kichwa cha habari tu na pesa akirudi kamaliza hadi na zaidi yaani very genius!
Ukimtuma jambo analifanya vizuri hadi wewe uliye mtuma unaona usingeweza! UNAANZAJE KUMFOKEA MWANAMKE MZURI KAMA HUYU!!?
Lakini kuna wengine Bomu kabisa ukimpa pesa picha linaanza anarudi katapeliwa! Akipika chakula bora lende, mgogoro wa majilani hamalizi hadi urudi wewe jamani! INABOA SANA!
Kuna wanawake huko unamkuta kalinzisha varaganti unafanya kumkuta polisi ukamuwekee dhamana! Hataki masiahara kusubiri hadi Mme arudi! Hii inaongeza sana IMANI KWA MUME!
ZINGATIO! Mwanaume anaefoka pasipo sababu hafai kuishi naye hata kidogo, lakini vile vyanzo vingine vinatibika