Wanawake mnawezaje kuishi na mwanaume anayefokafoka?

Wanawake mnawezaje kuishi na mwanaume anayefokafoka?

Sitanii asije kuwa ana vidonda vya tumbo...


Kuna baadhi ya magonjwa yanafanya mtu anakua na hasira sana.
Kitu si kitu una mind tu.
Hiyo cha mtoto, kimbembe kosa hela alafu una mke na watoto....unakuwa na hasira tuu. Yaani ata mkeo akiwa anapita mbele na khanga moja anatimgisha tako wee unadhani anakukashifu.
 
Huko kwenye kumpea hafoki, kwanza sijawahi kumnyima toka anioe....ye mwenyewe anakiri hilo.
Ila hebu fikiria labda namtengea chakula, bahati mbaya wakati naweka glass mezani nikosee hesabu glass ijigonge, jamani atafokaaa, Yani atanifokea Kama mtoto.
Just cool young lady,,,,kiongozi anaonesha mamlaka kwa nyumba na familia yake... Ha trust me huyo anaweza kukulinda kwa gharama yoyote,,,sema tu hiyo Ni mapungufu y ndani yatapungua au kuisha baada ya miaka kadhaa,,,amini nikwambiacho bidada
 
Mwambie mumeo atafute hela au pengine ana ugomvi wake huko nje na mchepuko wake,

Jaribu kwenda kwenu ukae japo mwezi mmoja ili aijue thamani yako kwenye Nyumba,

Ndoa yenu ina muda gani? Mna watoto?
 
Kama ulikuwepo, Yani hiyo akifoka ningekuwa mtu wa kujibu jibu angemalizia na vibao.....Ila huwa nanyamaza, ntaomba msamaha, Ila Moyoni inaniumiza....Mimi ni mtu mzima ni suala la kuelekezana tu.
Ndio haina kanuni hiyo ya kuelekezana tu,,,,,Kuna mmoja kuelekezwa na kufuata na mwingine kutekeleza wajibu... Na Hali ya maisha inatia hasira
 
Itabidi ujifunze ndondi, ndoa za sasaiv zataka kujipanga kwa mbinu zote😂 uwe mkimya, mwenye busara hekima, mchapakazi, mwanasaikolojia, mjasiriamali, mwana mieleka, mwenye kidomo,, kahaba kitandani, mlezi na mzazi,, kazi tuko nayo walahi
Si tutafika mbinguni tumechoka sana? 😀😀

Ila kama ni kweli anachokisema mama K, basi yuko katika trouble kubwa sana. I'v been there zamani kidogo, sema tu kwa leo nasikia uvivu kuandika. Uzuri mimi haikua ndoa ikawa rahisi kufanya maamuzi ya kumove on na kueleza kuwa nimeshindwa. Kila mtu ana anachoweza kuvumilia, mimi siwezi kabisa kuvumilia kufokewa kila saa.

Pole mama K, ongea nae sana.
 
Achana na hiyo ndoa, kwa nini? Mimi ni mwanaume, sikiliza:

1. Mwanamke akigombezwa hawezi kuwa na mapenzi ya hiyari.

2. Mwanaume anaweza asielewe na akikosa mapenzi ugomvi pale pale.

3. Usipokuwa na mapenzi naye atawaza unabated mtu nje ya ndoa - ugomvi Unaendelea.

4. Ataanza toka nje ya ndoa kwa sababu anaitaji mapenzi!

Achana naye! Hiyo cycle huishia kwenye mauaji
Tuliza akili kiongozi,,,inaonekana hunauhakika na ulichoandika for sure
 
Nishajiliza, nishanuna....Ila haachi, Hadi sasa nimeamua nijifanye mjinga, nijishushe!
Ila inaniumiza jamani, naumia....kuna wakati nawaza au mapenzi yameisha! Watu wengine anaongea nao vizuri Mimi ananifokea!
Ni anakupenda Sana huyo
 
Mi nimeoa mwehu mmoja hivi, huwa ananijaribu ili afe...

Nakiangaliii nakiacha tu.

Uraiani patamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji373][emoji374]
 
Mtu akikufokea anakua anakupenda? Seriously??? Hawezi kukupenda bila kukufokea fokea? This sounds like someone he's sadist!
Mwanaume bila kukoroma ndani ya nyumba utaishia kutombewa mke wako hadi kitanda mnacholala
 
Mwanaume bila kukoroma ndani ya nyumba utaishia kutombewa mke wako hadi kitanda mnacholala
Ndio kila saa? Hamjawahi kufokewa sawasawa nyie ndio maana mnaongea ongea, look, ukiishi na mtu anayekufokea fokea matokeo yake atakunyima confidence kabisa, utajiona kila kitu huwezi ama unakosea, if this is something ya'll want. (Kuwanyima wenzenu confidence)

Kila kitu kiwe na kiasi. Mtu afoke kama amekasirishwa (fair! ili na yeye aweze kurelease hasira iliyopo kifuani) maana kumnyima binadamu kufoka kabisa ni kudictate hisia zake. Napo tena sio amfokee mkewe hadharani amwite huko chumbani afoke awezavyo yaishe kama anaona hawezi ongea kawaida.

Sasa ya kufoka kila saa huoni ni tatizo?
 
Huko kwenye kumpea hafoki, kwanza sijawahi kumnyima toka anioe....ye mwenyewe anakiri hilo.
Ila hebu fikiria labda namtengea chakula, bahati mbaya wakati naweka glass mezani nikosee hesabu glass ijigonge, jamani atafokaaa, Yani atanifokea Kama mtoto.

Huyo inaelekea ni wale wanaobebelea mambo kwa hiyo analishushia popote tu.

Kuna wanaume wakikwazwa kazini huko anahamishia hasira kwa mnyonge wake

Pole
 
Elimu tuko Sawa, amenizidi kipato....Yani afoke Mimi niwashe redio, naweza Kula mateke....akifoka Mimi nikae nimsikilize, niombe msamaha....ndo nakuwa mwanamke mwenye adabu.
Kinachomfokesha sasa hata hakiingii akilini, mfano umekosea kuzima TV, umezima direct kwenye socket atafoka mashetani ya mtaa mzima yatajua....nyiee
Duuh huyo kiboko sema inaonekana pia hampo pamoja katika swala la maombi yenu yaani pana muda mkae mjadili vifungu vya bible au quran kutokana na imani mliyonayo ili kupunguza Uputini ndani ya nyumba..Muombee pia na iombee familia maana Dunia ina mambo mengi hasa kwa wana ndoa..
 
Kwa shuhuda hizi za hivi karibuni

Unaweza shangaa nakutana na Mandonga mtu kazi,ni mwendo wa ngumi tu humo ndani 😂
😂😂😂😂😂 Unapigwa TKO na mieleka kama mko WWE. Aisee ni kuomba sana mwenyezi MUNGU akupe mpole kama mimi. Sifokagi wala kupiga. Au basi.
 
Elimu tuko Sawa, amenizidi kipato....Yani afoke Mimi niwashe redio, naweza Kula mateke....akifoka Mimi nikae nimsikilize, niombe msamaha....ndo nakuwa mwanamke mwenye adabu.
Kinachomfokesha sasa hata hakiingii akilini, mfano umekosea kuzima TV, umezima direct kwenye socket atafoka mashetani ya mtaa mzima yatajua....nyiee
Wasikudanganye. Kuwa mpole na kimya kwenye hizo ocassion. Yuko hivyo tangu mmeona au kaanza siku hizi? Tuanzie hapo
 
asikutese kiasi hicho mpe altimatum na kama habadiliki chukua maamuzi ya kutengana. ikibidi mtengane vyumba au uhame kabisa mtengane kwa muda fulani mpeane nafasi akiona ana kuhitaji basi akubali sharti la kubadilika, la habadiliki achana nae huyo atakupa stress tu.
inaonekana hajiamini ndio mana anafoka, kwa nini umfokee mtu mzima ambaye hakatai maelekezo ukimuelekeza? kama mtu ni jeuri ni sawa akifokewa ila kama wewe sio jeuri basi anakuonea.

siku nyengine mrekodi kwa siri asijue halafu baadae utoke nae nje ya mji huko akiwa ametulia msikilizishe upuuzi wake halafu muulize kama ni yeye ndio anafanyiwa hivyo angejisikiaje?
Ndugu wajumbe ninadhani tuufunge huo. Hii ni comment bora zaidi kwa mazingira haya uzi huu.
 
Back
Top Bottom