Itabidi ujifunze ndondi, ndoa za sasaiv zataka kujipanga kwa mbinu zote😂 uwe mkimya, mwenye busara hekima, mchapakazi, mwanasaikolojia, mjasiriamali, mwana mieleka, mwenye kidomo,, kahaba kitandani, mlezi na mzazi,, kazi tuko nayo walahiKwa shuhuda hizi za hivi karibuni
Unaweza shangaa nakutana na Mandonga mtu kazi,ni mwendo wa ngumi tu humo ndani 😂
Looo pole jamani,, ndo wale wanaume akiwa home Kila mtu atetemeke yani, umwangalie kwa kumuogopa hamna kujibebisha Wala kudeka,, yupo mtu kwenye familia ana tabia hii,, alimnyanyasa sana mkewe, naona saiv mambo yamebadilika mke ndo anamfokea mumewe😂😂😂 mbwembwe zote kwisha na ndg tunasema wacha akomeeeeNishajiliza, nishanuna....Ila haachi, Hadi sasa nimeamua nijifanye mjinga, nijishushe!
Ila inaniumiza jamani, naumia....kuna wakati nawaza au mapenzi yameisha! Watu wengine anaongea nao vizuri Mimi ananifokea!
Mpaka kalileta hapa means imeshamchosha na kavumilia sana....yaani mi ningeshasepa Kitambo.Mwanaume ambaye hawez Kuwa rafiki na mkewe wa nnAchana na hiyo ndoa, kwa nini? Mimi ni mwanaume, sikiliza:
1. Mwanamke akigombezwa hawezi kuwa na mapenzi ya hiyari.
2. Mwanaume anaweza asielewe na akikosa mapenzi ugomvi pale pale.
3. Usipokuwa na mapenzi naye atawaza unabated mtu nje ya ndoa - ugomvi Unaendelea.
4. Ataanza toka nje ya ndoa kwa sababu anaitaji mapenzi!
Achana naye! Hiyo cycle huishia kwenye mauaji
Mmmh yani uwe busy na kazi na mziki aone unamdharau??? Huyo shemela kuna shida mahali.....umemzidi elimu au kipato????Ataona namdharau ndo atanibutua kabisa.
Kwa hiyo sisi ndio tunatakiwa kuwaelewa waoItabidi ujifunze ndondi, ndoa za sasaiv zataka kujipanga kwa mbinu zote😂 uwe mkimya, mwenye busara hekima, mchapakazi, mwanasaikolojia, mjasiriamali, mwana mieleka, mwenye kidomo,, kahaba kitandani, mlezi na mzazi,, kazi tuko nayo walahi
Nadhani,, we soma maoni ya wadau ndo utagundua majukumu tuliyonayo ni mengiKwa hiyo sisi ndio tunatakiwa kuwaelewa wao
Kazi tuko nayo kweli
Kuna mmoja alimwambia mkurya nipige kama wewe mwanaume kweli, alipigwa kichwa kimoja tu akakata moto hapo hapo kwa masaa kadhaa. Hakuja kurudia tena kauli hiyo.Atakubonda ufe🤣🤣🤣🤣 nyie sii ndio mnasemaga nipige nipige kama wee mwanaume 🤣🤣🤣🤣
Hebu jaribu kuchomea akiwa amekolea halafu uone[emoji1787]Uroda nampa, Yani nampa kweli kweli....Ila hiyo tabia haachi.
Itabidi ujifunze ndondi, ndoa za sasaiv zataka kujipanga kwa mbinu zote[emoji23] uwe mkimya, mwenye busara hekima, mchapakazi, mwanasaikolojia, mjasiriamali, mwana mieleka, mwenye kidomo,, kahaba kitandani, mlezi na mzazi,, kazi tuko nayo walahi
🤣🤣🤣🤣 Ukiviona vasi vinavyo jitutumua tafikiria vina nguvu vile🤣🤣🤣 kweli usemalo hao ni kuwatia ngumi tuuu.Kuna mmoja alimwambia mkurya nipe kama wewe mwanaume, alipigwa kichwa kimoja tu akakata moto hapo hapo kwa masaa kadhaa. Hakuja kurudia tena kauli hiyo.
Wa design hayo dawa yao akikwambia hivyo ni kumshindilia gumi moja la utosi mpaka ahisi Israel ana kumtoa roho. Hawarudii tena.
Mi nimeoa mwehu mmoja hivi, huwa ananijaribu ili afe...
Nakiangaliii nakiacha tu.
Uraiani patamu
🤣Kugumu sana kule,ukimpata kibaka 🤔Ndoa zimekuwa ndoo, zinazosikika ni kero sio mazuri inakatisha tamaa sana
Yani nimechoka Kwa kweli.Mpaka kalileta hapa means imeshamchosha na kavumilia sana....yaani mi ningeshasepa Kitambo.Mwanaume ambaye hawez Kuwa rafiki na mkewe wa nn
Elimu tuko Sawa, amenizidi kipato....Yani afoke Mimi niwashe redio, naweza Kula mateke....akifoka Mimi nikae nimsikilize, niombe msamaha....ndo nakuwa mwanamke mwenye adabu.Mmmh yani uwe busy na kazi na mziki aone unamdharau??? Huyo shemela kuna shida mahali.....umemzidi elimu au kipato????
Michepuko anayo....labda ndo sababu.Kwanza kabisa chunguza kama anakupenda kwa dhati, na ufuatilie kama anafanya mapenzi nje, mana akishafanya nje anakuona huna thamani kwake