Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,118
Mbiguni utakusikia.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaaa afu ukute mwanamke mwenyewe ana tako Kama nyuma ya koleo afu awe wilani (NAMTUMBO) Noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbiguni utakusikia.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaaa afu ukute mwanamke mwenyewe ana tako Kama nyuma ya koleo afu awe wilani (NAMTUMBO) Noma
Labda sababu sikumpa ruhusa.....Hahaha Jurjani huyuhuyu au yupo mwingine? Mbona mimi alinikataa eti nina kitambi
HahahaMbiguni utakusikia.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi tumbo kuitwa kubwa linatakiwa kuwa na inchi ngapi?
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Habari!
Wanawake sasa naona mnajisahau sana kwenye swala zima la kutunza miili yenu.
Msishtuke nitaongelea kitu kidogo tu, wanawake upande wa kuwa na matumbo/Vitambi ambayo yanaleta shida moja kwa moja kwenye muonekano wenu.
Sasa tuviite ni vitambi au viliba tumbo maana mmevikubali na wengine wanavitafuta kwa kasi kwa lifestyle wanayoishi.
Inasikitisha zaidi unakutana na mwanamke jinsi alivyojibana na tumbo lake ila ukimtazama inathibitika kabisa ni uzembe wake binafsi umeleta tumbo/kiambi chake.
Ushauri Kwenu.
✓ Lifestyle yako binafsi angalia mara mbili mbili unaishi vipi.
✓Vyakula unavyopendelea kutumia usipende kula kula sababu unapenda kula. + Vinywaji pia.
✓ Mazoezi, sasa hapa wengi najua ni wana uvivu ila kama unapenda hakikisha hata kwa week mara moja.
✓Ukishindwa kabisa basi zingatia hapo juu kwenye vyakula utumiavyo.
✓ Wale ambao tayari ndio hivyo tumbo lipo pale pale basi zingatieni hata nguo mnazovaa msijibane na kujifinya kiasi hichi hadi tunawaonea huruma.
Achana na nchi ngapi, ingia chumbani, vua nguo zote baki na chupi tu, simama kwa kubana miguu, inama (chora 7), kama huwezi kuiona chupi uliyovaa basi ujue una tumbo kubwa.Hivi tumbo kuitwa kubwa linatakiwa kuwa na inchi ngapi?
Binafsi sina kitambi ila tumbo ninalo, nimeuliza hivyo ili kuweka sawa hii kituAchana na nchi ngapi, ingia chumbani, vua nguo zote baki na chupi tu, simama kwa kubana miguu, inama (chora 7), kama huwezi kuiona chupi uliyovaa basi ujue una tumbo kubwa.
Hongera sana.Binafsi sina kitambi ila tumbo ninalo, nimeuliza hivyo ili kuweka sawa hii kitu
Nimefanya Kama ulivyoandika na kyupi nimeiona fresh
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Achana na nchi ngapi, ingia chumbani, vua nguo zote baki na chupi tu, simama kwa kubana miguu, inama (chora 7), kama huwezi kuiona chupi uliyovaa basi ujue una tumbo kubwa.
Najisikia raha umefurahi kwa nilichoandika.😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Nimecheka sana walaqhi'..!
Nilivyo sina chura, nikiruhusu tena kitambi si itakula kwangu.!?Najisikia raha umefurahi kwa nilichoandika.
Tupe mrejesho baada ya kupractice
There is someone for everyone, worry not. Live ur life freely.Nilivyo sina chura, nikiruhusu tena kitambi si itakula kwangu.!?
Nilivyo sina chura, nikiruhusu tena kitambi si itakula kwangu.!?
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achana na nchi ngapi, ingia chumbani, vua nguo zote baki na chupi tu, simama kwa kubana miguu, inama (chora 7), kama huwezi kuiona chupi uliyovaa basi ujue una tumbo kubwa.
Legendary advice.Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka mnoLegendary advice.