Wanawake msijisahau kupita kiasi

Wanawake msijisahau kupita kiasi

Habari!

Wanawake sasa naona mnajisahau sana kwenye swala zima la kutunza miili yenu.

Msishtuke nitaongelea kitu kidogo tu, wanawake upande wa kuwa na matumbo/Vitambi ambayo yanaleta shida moja kwa moja kwenye muonekano wenu.

Sasa tuviite ni vitambi au viliba tumbo maana mmevikubali na wengine wanavitafuta kwa kasi kwa lifestyle wanayoishi.

Inasikitisha zaidi unakutana na mwanamke jinsi alivyojibana na tumbo lake ila ukimtazama inathibitika kabisa ni uzembe wake binafsi umeleta tumbo/kiambi chake.

Ushauri Kwenu.
✓ Lifestyle yako binafsi angalia mara mbili mbili unaishi vipi.

✓Vyakula unavyopendelea kutumia usipende kula kula sababu unapenda kula. + Vinywaji pia.
✓ Mazoezi, sasa hapa wengi najua ni wana uvivu ila kama unapenda hakikisha hata kwa week mara moja.
✓Ukishindwa kabisa basi zingatia hapo juu kwenye vyakula utumiavyo.

✓ Wale ambao tayari ndio hivyo tumbo lipo pale pale basi zingatieni hata nguo mnazovaa msijibane na kujifinya kiasi hichi hadi tunawaonea huruma.
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnataka tusinenepe ??
Tuvumiliane
 
Kusema kweli mwanamke mwenye kitambi flani hivii, Huwa watamu Sana!!
 
Achana na nchi ngapi, ingia chumbani, vua nguo zote baki na chupi tu, simama kwa kubana miguu, inama (chora 7), kama huwezi kuiona chupi uliyovaa basi ujue una tumbo kubwa.
Binafsi sina kitambi ila tumbo ninalo, nimeuliza hivyo ili kuweka sawa hii kitu

Nimefanya Kama ulivyoandika na kyupi nimeiona fresh
 
Achana na nchi ngapi, ingia chumbani, vua nguo zote baki na chupi tu, simama kwa kubana miguu, inama (chora 7), kama huwezi kuiona chupi uliyovaa basi ujue una tumbo kubwa.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Nimecheka sana walaqhi'..!
 
Achana na nchi ngapi, ingia chumbani, vua nguo zote baki na chupi tu, simama kwa kubana miguu, inama (chora 7), kama huwezi kuiona chupi uliyovaa basi ujue una tumbo kubwa.
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom