Wanawake mtambue mwanaume kuvumilia usaliti ni 1 kati ya 10 chezeni kwa step

Mkuu napokua katika mahusiano thabiti huwa sitoki nje ya mwanamke wangu kwaiyo hii kitu inanipaga hali fulan ya hasira napoona usaliti unanukia. Sasa mimj hasira nisehem yangu mbaya ambayo kila siku najitahidi niiepuke.

Kwamantiki hiyo., for the betterment of my health and my life ..kuachana is the only way to go !!!.
 
Sure Mkuu. Kama kweli ndiyo ULIVYO SERIOUS katika relationship una haki ya hasira. Kama ulivyosema KUACHANA ni jibu tosha. Katika taarifa ya habari ITV saa mbili leo mchungaji aliyefanya ibada ya mazishi ya huyu Nesi amesema ukiona ndani hamuelewani na hatari unaona ni bora uondoke usisubiri kifo kiwatenganishe wakati unaona kabisa maisha yako yako hatarini.
 
Mkuu mimi ni mkristo , wanaume wengi wa kikristo wanajisahau sana kwakweli ..BIBLIA INASEMA IVI MWANAMME AMUACHE MWANAMKE KWA DHAMBI YA USALITI .

Sasa watu wanajifanyaga wanaupendo wadamu. Kuvumilia tabia zawatu matokeo yake WAMEISHIA KUFA.
 
Mkuu mimi ni mkristo , wanaume wengi wa kikristo wanajisahau sana kwakweli ..BIBLIA INASEMA IVI MWANAMME AMUACHE MWANAMKE KWA DHAMBI YA USALITI .

Sasa watu wanajifanyaga wanaupendo wadamu. Kuvumilia tabia zawatu matokeo yake WAMEISHIA KUFA.
Unaacha afu unaenda oa perhaps alieachwa pia
Nadhani kabla ya kuacha angalia kama haujachangia tatizo kwanza..
Je unampa mkeo haki inavostahili?.amechepuka kwa sababu gani?.
Kama kweli we ni msafi and u was doing ur best basi sawa
Othrwise Mungu anawaona
 
Kama mwanamme imani yangu nikuhakikisha nitatimiza yotenyaloyangu...alafu nifanye ivo mtu unisaliti?? Cheeeeeee utegemeee nakusemehee?? .

Hapana kwakweli ... Usaliti nichanzo cha kifo..... Sitaki kufa sababu ya mtu .
 
Na ukubwa pia halina mkuu. Kabla hujatenda tafakari kidogo haya.
Ulimtoa wapi
Ulimkutaje
Wewe ni msafi kiasi gani
Umekidhi matarajio yake
Amekidhi matarajio yako.
Kuna maisha bila yeye ?kama yapo yatakuwa vipi.
Baada ya hapo chukua hatua.
C.c kwa watu wote walioko mapenzini
 
Ha ha ha
 
Kama mwanamme imani yangu nikuhakikisha nitatimiza yotenyaloyangu...alafu nifanye ivo mtu unisaliti?? Cheeeeeee utegemeee nakusemehee?? .

Hapana kwakweli ... Usaliti nichanzo cha kifo..... Sitaki kufa sababu ya mtu .
Waweza dhani mwenzio anafurahia kitu kumbe hafurahii...mambo ya mapenzi ni zaidi ya tuyajuavyo
 
Mwanaume mchungu sana kusalitiwa ...swali je ewe mwanaume je wewe ni msafi?unatimiza haki /wajibu wote ukiwa kama mwanaume kwa mpenz wako?ukipata majibu utajua ufanye nini ukichitiwa
Nikwambie kitu ukiona hutimiziwi na mume wako hakuridhishi ni bora umwambie muachane maana akikukamata unafanywa huko nje Halafu bado unajiita ni mke wake utaumia.
 
Kweli kabisa na mimi ndo nilichosema hapa
 
Hahahaha aisee mi naona nimeumbwa tofauti hata kama nina kimada nje lakini nikijua wife anatembea nje itaniumiza sana. Huu ndio ukweli japo mchungu
 
Siwezi kubadilisha msimamo wangu kuhusu usaliti, haitokuja kutokea mimi kumsamehe mwanamke ambae atanisaliti never on Earth hiki ni kama kiapo kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…