Wanawake mtatuua na hizi michezo za siri

Chukka zote then hata akiimba mapambio au mapiano we uchune kimya.
 
Hiyo pesa usiichukue mwache acheze mchezo wake cha msingi angalia kitu gani anaifanyia hiyo hela. Wakati mwingine wamama wanatuokoa pindi ambapo mambo yamekuwa magumu kumbe kuna ka hela alikatunza ndo anaitoa kwa ajili ya support
 
Hii nayo ninusaliti wa hali ya juu.
Mara mia mke akatombweee huko nje lakini sio kuficha kuhusu kucheza mchezo. Yaani mke anachezea hela zako...huyo ni wakufukuza kabisa.
Achezee mbususu yake lakini sio hela zako bro
 
1. Mpongeze kwa kuwa mchumi mzuri. Inawezekana wewe isingeweza kuweka akina kama yeye afanyavyo

2. Mwongezee hela ya bajeti ya matumizi nyumbani ili anapotoa ya mchezo usiishie kulishwa "matembele" badala ya "samaki"

3. Chunguza kwa siri kwa kipindi cha miezi mitatu uone anachofanyia hizo fedha

ANGALIZO: Usimwibie hela ya mchezo kwani kufanya hivyo ni sawa na kujiibia. Mwache aamue kwa uhuru matumizi ya fedha za mchezo. Huenda katika kipindi cha miezi mitatu utagundua kuwa huo mchezo una manufaa makubwa kwa familia yenu kuliko ulivyofikiri.

Ndoa inahitaji kuaminiana!
 
Unapaswa kuacha hadi kujua lengo la saving hyo n nn mkuu

Kama pesa hyo itajumuisha malengo kifamilia (au atakuhusisha mwisho sa siku) huyo n mke mtunze sana ila kama yatakuw matumiz yake binafs
 
Hii nayo ninusaliti wa hali ya juu.
Mara mia mke akatombweee huko nje lakini sio kuficha kuhusu kucheza mchezo. Yaani mke anachezea hela zako...huyo ni wakufukuza kabisa.
Achezee mbususu yake lakini sio hela zako bro


Pale kibamia kinaposhika hatamu kufanya maamuzi kuzidi kichwa kikuu...πŸ˜πŸ˜πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…