Wanawake mtatuua na hizi michezo za siri

Wanawake mtatuua na hizi michezo za siri

Wanasemaga hakuna jipya chini ya jua...
Historia humfanya binadamu wa leo na kesho kuishi aidha kuepuka yaliyotokea nyuma yasimpate, au azidi waliyofanya kizazi cha nyuma au ashangaze kwa kuvumbua mapya.

Wanawake wa kizazi cha tatu hadi cha nne nyuma ya sasa pia walikuwa na namna ya kujikwamua kiuchumi kwa malengo tofautitofauti na bado waliishi na waume zao. Ukiona mtu anafanya jambo nje, kama hakushawishiwa basi lilianza kama wazo au ni moja ya kutatua matatizo yanayomkumba.

Mume mlevi na mhuni anawatoto kila mtaa na nyumbani kwake haijulikani wanakula nini wanavaa nini, mama ndo ajiongeze apike mataptap au mama ntilie watoto wale wasome. Wengi kwenye jamii yetu walilelewa hivi halafu wamekuwa watuwazima wanasahau walikotoka wanafanya ushuzi uliofanywa na wazazi wao kwa kuwadhihaki wenza wao kinyume na mmoja wa mzazi wake alivyohangaika kumlea.

Kuna watu wamelelewa kwa shida, baba ni.mwanajeshi mshahara ukitoka unaisha baada ya siku 3 sikuzote yuko njwiii, mama akijiongeza afanye kamradi watoto wale anaiba hizo hela ananywea pombe na bado huyo mwanamke amekaa kwenye ndoa hadi watoto wanamaliza chuo.... nyaambaaffff Hapa kataa ndoa nawaunga mkono.

Hii ni pande zote, kuna wanawake ni pasua kichwa, akipewa hela ya matumizi anaenda kwa waganga bora hata huyo anayecheza mchezo, baba ndo anahangaika watoto waende shule gani ndo afanye manunuzi ya chakula nyumbani, mama hana habari na hawa tumeona kwenye jamii yetu.

Hakunaga formula kwenye kuishi na mwenza, mchukulie namna alivyo ukiona umeshindwa lea watoto wakikua jikate endelea na maisha yako.

Ni wanadamu wachache sana wanawajibika vile wanapaswa kuwajibika, na ndio maana unaona lawama haziishi na ugomvi, hisda, chuki....

Heri nowe pekeyanguuu, heri niwe pekeyanguu, heri niwe pekeyangu mamaa...🎵🎵🎼.
 
1. Usichukuwe hizo pesa labda kama una fire extinguisher ya kuzima huo moto.
2. Kaa naye muulize lengo la kucheza vikoba anataka kufanya nini kama jambo ni la msingi basi msapoti.
3. Kama mkeo ni mwaminifu kwenye pesa na wewe kama ni mwaminifu pia unaweza kutumia fursa ya vikoba wewe na mkeo mkapiga hatua. Mnaweza kununua plot au gari hata ya 14M bila kwenda bank kukopa mikopo yenye riba kubwa kupindukia.
 
We muulize hela ya matumizi anaibajeti vip, au umwambie unataka mfanye bajeti ya mwezi mzima halafu mpange chakula cha kila siku
Hapo pia lazima utumie ujanja ili asigundue kana unamperereza
Kuhusu hizo hela usichukue za hao wengine maana itakuwa vita
Au umwambie kama umegundua huo mchezo halafu muulize ana mpango gani unaweza kuta anatafuta namna ya kukusaidia kuingizia familia kipato ameamua kujiongeza maana kama mnakula mabogaboga hamfi ili kesho mle vinono inaitwa kujinyima kwa ajili ya kesho bora
 
Habari za muda huu wadau .

Moja kwa moja kwenye mada ipo hivi mimi ni baba wa familia mwenye mke na mtoto mmoja .

Nimekuwa nikiacha matumizi hapa nyumbani sasa ajabu kila siku ninaacha matumizi hapa nyumbani nakuta mboga za ajabuajabu.

Nikaanza uchunguzi wangu taratibu katika fukunyuafukunyua nakutana na daftari limeandikwa majina matatu, lake na wamama wawili . Wanacheza mchezo na nimegundua mahali anapoficha hela .

Sasa wadau nizichukue au nisubirie ziwe nyingi kidogo. Yeye mke wangu anajua sijui kama kuna mchezo wanacheza na hapa nataka nimpige marufuku.
Muulize anacheza kwa manufaa ya familia na kivipi au la, kutokana na jibu lake, ndio uamue uchukue hatua gani.
 
Habari za muda huu wadau .

Moja kwa moja kwenye mada ipo hivi mimi ni baba wa familia mwenye mke na mtoto mmoja .

Nimekuwa nikiacha matumizi hapa nyumbani sasa ajabu kila siku ninaacha matumizi hapa nyumbani nakuta mboga za ajabuajabu.

Nikaanza uchunguzi wangu taratibu katika fukunyuafukunyua nakutana na daftari limeandikwa majina matatu, lake na wamama wawili . Wanacheza mchezo na nimegundua mahali anapoficha hela .

Sasa wadau nizichukue au nisubirie ziwe nyingi kidogo. Yeye mke wangu anajua sijui kama kuna mchezo wanacheza na hapa nataka nimpige marufuku.
Usipompa hela za vikoba, atapewa na vijana wasio na familia. Usije kuja kulialia eti unagongewa.
 
Habari za muda huu wadau .

Moja kwa moja kwenye mada ipo hivi mimi ni baba wa familia mwenye mke na mtoto mmoja .

Nimekuwa nikiacha matumizi hapa nyumbani sasa ajabu kila siku ninaacha matumizi hapa nyumbani nakuta mboga za ajabuajabu.

Nikaanza uchunguzi wangu taratibu katika fukunyuafukunyua nakutana na daftari limeandikwa majina matatu, lake na wamama wawili . Wanacheza mchezo na nimegundua mahali anapoficha hela .

Sasa wadau nizichukue au nisubirie ziwe nyingi kidogo. Yeye mke wangu anajua sijui kama kuna mchezo wanacheza na hapa nataka nimpige marufuku.
Pesa ngapi unaacha?, ongea nae na akwambie malengo yake ya kucheza hiyo michezo!,wengine hucheza mara chache akipata kamsingi kake anaacha.....
 
Habari za muda huu wadau .

Moja kwa moja kwenye mada ipo hivi mimi ni baba wa familia mwenye mke na mtoto mmoja .

Nimekuwa nikiacha matumizi hapa nyumbani sasa ajabu kila siku ninaacha matumizi hapa nyumbani nakuta mboga za ajabuajabu.

Nikaanza uchunguzi wangu taratibu katika fukunyuafukunyua nakutana na daftari limeandikwa majina matatu, lake na wamama wawili . Wanacheza mchezo na nimegundua mahali anapoficha hela .

Sasa wadau nizichukue au nisubirie ziwe nyingi kidogo. Yeye mke wangu anajua sijui kama kuna mchezo wanacheza na hapa nataka nimpige marufuku.
mkeo na yeye ni mdau wa JF rudi chukua haraka kabla hajaona post yako....
 
Back
Top Bottom