Wanawake mtatuua na hizi michezo za siri

Ukichukua utakuwa umeiba yaani mwizi. Kaa nae uzungumze nae labda atakwambia sababu ambayo hata wewe utaielewa

 
Kaeni chini muongee. Muulize hizo hela anafanyia nini. Kama ni kwa manufaa ya familia basi angalieni jinsi ya kufanya ili angalau Mkuu ule kuku kidogo.
Ili mradi hakuibii mwache mkeo aendelee na mchezo. Kuna siku utamshukuru.
 
Chukua, Alafu mwambie uko na bahati maana umeokota hela ummo ndani. Uone anavo anza kujiuma uma, Usimpe mpaka anyoshe maelezo
 
Shukru Mungu anachukua ni Hela Yako Sio ya kuhongwa na mangi,Wewe endelea kuchunguza ila usichukue Hata senti halafu subiri mwisho wa siku akipokea hiyo Hela kitu Gani Cha tofauti ambacho atakifanya .Baadhi ya wamama waliowengi wanacheza michezo Kwa malengo hapo inawezekana kabisa kuna kitu anataka kufanya na alishajua kabisa akikuomba Hela ya kufanyia hilo jambo lake huwezi kumpa.Tulia labda kama menu haileweki sana waweza kumuuliza tu kwamba mama boresha kidogo menu.
 
Kazi kweli kweli......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…