Wanawake muelewe; kwa Sisi Wanaume watoto wote sio Sawa. Tunawapenda na kubariki wale wanaotusikiliza

Wanawake muelewe; kwa Sisi Wanaume watoto wote sio Sawa. Tunawapenda na kubariki wale wanaotusikiliza

Mtibeli kunywa soda Kwa Mangi. Ila iwe jioni baada ya futuru. Something people don't understand Kwa nini mtoto wa nne au wa SITA anakuwa anabeba familia licha ya kuwa kuna wakubwa zake ni hili.

Kati ya watu nisioacha kusoma andiko lake wewe ni mmojawapo.

Ahsante Sana Mkuu.

Unakuta mtoto ni mzaliwa wakwanza lakini hamna kitu.
Au unakuta mtoto wako WA Nje ndiye mnapatana na anaakili kuliko waliopo ndani ya ndoa
Hatari sana
 
Back
Top Bottom