Hahahahahah “Chuma ulete Pro Max” nimeipenda hiiWenzako wanasemaga 'hela ya mwanamke ni ya mwanamke, ya mwanaume ni ya familia. Kwani hujui?
Kingine, hela ya babe ni tamu sana, sielewagi kwanini. Hivyo basi hata kama unajua ana zake msichoke kutupa. 😂
Cha mwisho huyo wako amezidi, ni chumaulete pro max. Mwambie tu hauko vizuri akikazania mwambie uliona balance yake.
Ni kweli ukiwa na pesa nyingi kuna aina flani ya wanawake hukutani nao 😂😂😂 ila sidhani kama wewe una pesa za aina hio!Hao ambao hawaombi hela kabisa ni shida sana kuwapata
Huo upuuzi ntaukataa mpaka siku naingia kaburini! Hela ni zetu wote iwe zangu au zako jua kama unakula zangu ikifika time ntakula zako na ole wako ufungue mdomo kulalamika!Piga chini atakuja kukutesa ukizeeka au kufilisika
sometimes God anakuwa anakuonesha adui yako kabla jambo halijatukia sema ndio hivyo binadamu ni tumefungwa na philosofi za narssisct et changu changu ,chako chetu.
halafu na wewe unakubali huku ukijidanganya ndio uwanaume wapi imeandikwa
Mkuu usiishi na mtu mbinafsi bila kujali jinsia yake kumbuka mkuu hauta share jeneza na mtu
Huu upuuzi ndio mnauendekeza na kuwapa bichwa hawa wanawake dunia ilishatokaga huku toka mwaka 2000 baada ya kikao cha Beijing!Pole sana,dunia ndivyo ilivyo...
Cha mwanaume ni cha jamii nzima, cha mwanamke ni chake peke yake...
Naunga mkono hojaDuuuu kazi kweli kweli, binafsi kama nimeisha piga chata, natafuta pa kutolokea.
Mengi na pesa zake nyingi mbona kakutana na mnyonya damu?Ni kweli ukiwa na pesa nyingi kuna aina flani ya wanawake hukutani nao [emoji23][emoji23][emoji23] ila sidhani kama wewe una pesa za aina hio!
Tuliza akili tu wanawake wasiiomba hela wapo wengi tu mbona sema tatizo mnaangalia sura na tako vijana! Sie wa kuku wa kienyeji waliotokea kwenye familia bora tunawapata tu vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huruma huzaa dhambi..
Mengi alikuwa na pesa nyingi! Its hard to get a faithful woman with such Net WorthMengi na pesa zake nyingi mbona kakutana na mnyonya damu?
Kweli kabisa ndio maana hata mimi nikiona demu anatabia za ubinafsi basi moja kwa moja najua pia atakua natabia ya golden diggers (kudanga)Huo upuuzi ntaukataa mpaka siku naingia kaburini! Hela ni zetu wote iwe zangu au zako jua kama unakula zangu ikifika time ntakula zako na ole wako ufungue mdomo kulalamika!
Ndio maana niko selective sana kwenye kuchagua wanawake!
Mwanamke mbinafsi always ni Goldigger, ana mkono wa kupokea tu ila sio wa kutoa😅😅😅 na ndio wanateseka sana wakikutana na wabishi kama mimi! Nitamfosi abadilike kama hawezi njia nyeupeKweli kabisa ndio maana hata mimi nikiona demu anatabia za ubinafsi basi moja kwa moja najua pia atakua natabia ya golden diggers (kudanga)
Chuma ulete[emoji23][emoji23][emoji23]Kina miss pablo wapo hawaombi ombi hela we kwanini una date na chuma ulete [emoji23][emoji23][emoji23]