Wanawake muwe mnatuonea huruma basi...

Wanawake muwe mnatuonea huruma basi...

Wenzako wanasemaga 'hela ya mwanamke ni ya mwanamke, ya mwanaume ni ya familia. Kwani hujui?

Kingine, hela ya babe ni tamu sana, sielewagi kwanini. Hivyo basi hata kama unajua ana zake msichoke kutupa. 😂

Cha mwisho huyo wako amezidi, ni chumaulete pro max. Mwambie tu hauko vizuri akikazania mwambie uliona balance yake.
Hahahahahah “Chuma ulete Pro Max” nimeipenda hii
 
Hao ambao hawaombi hela kabisa ni shida sana kuwapata
Ni kweli ukiwa na pesa nyingi kuna aina flani ya wanawake hukutani nao 😂😂😂 ila sidhani kama wewe una pesa za aina hio!

Tuliza akili tu wanawake wasiiomba hela wapo wengi tu mbona sema tatizo mnaangalia sura na tako vijana! Sie wa kuku wa kienyeji waliotokea kwenye familia bora tunawapata tu vizuri.
 
Piga chini atakuja kukutesa ukizeeka au kufilisika
sometimes God anakuwa anakuonesha adui yako kabla jambo halijatukia sema ndio hivyo binadamu ni tumefungwa na philosofi za narssisct et changu changu ,chako chetu.
halafu na wewe unakubali huku ukijidanganya ndio uwanaume wapi imeandikwa
Mkuu usiishi na mtu mbinafsi bila kujali jinsia yake kumbuka mkuu hauta share jeneza na mtu
Huo upuuzi ntaukataa mpaka siku naingia kaburini! Hela ni zetu wote iwe zangu au zako jua kama unakula zangu ikifika time ntakula zako na ole wako ufungue mdomo kulalamika!

Ndio maana niko selective sana kwenye kuchagua wanawake!
 
Ni kweli ukiwa na pesa nyingi kuna aina flani ya wanawake hukutani nao [emoji23][emoji23][emoji23] ila sidhani kama wewe una pesa za aina hio!

Tuliza akili tu wanawake wasiiomba hela wapo wengi tu mbona sema tatizo mnaangalia sura na tako vijana! Sie wa kuku wa kienyeji waliotokea kwenye familia bora tunawapata tu vizuri.
Mengi na pesa zake nyingi mbona kakutana na mnyonya damu?
 
Huyo demu siyo piga chini hakupendi hata chembe ashaona amepata danga lake eti laki 3 wakati akaunti imeshiba.

Huyu mwanamke anatokea kabila gani hapa Tanzania hili swali amna aliyekuuliza hapa?
 
Huo upuuzi ntaukataa mpaka siku naingia kaburini! Hela ni zetu wote iwe zangu au zako jua kama unakula zangu ikifika time ntakula zako na ole wako ufungue mdomo kulalamika!

Ndio maana niko selective sana kwenye kuchagua wanawake!
Kweli kabisa ndio maana hata mimi nikiona demu anatabia za ubinafsi basi moja kwa moja najua pia atakua natabia ya golden diggers (kudanga)
 
🎶Toa ndugu
Toa ndugu
Ulichonacho ww
Bwana anakuona
Mpaka moyoni mwako🎶
 
Hakuna anaeaminika sasa,ko yule jamaa aliyepanga yeye na mkewe kwenye nyumba ya mkewe pasipo yeye kujua kwamba anaechukua kodi ni mkewe ukamwona boyaaa.HAKUNA MKWELI KIZAZI CHA LEO ,,,YAAN NDO MAANA MIMI NI UGUMUUGUMU NO KUREMBA
 
Kweli kabisa ndio maana hata mimi nikiona demu anatabia za ubinafsi basi moja kwa moja najua pia atakua natabia ya golden diggers (kudanga)
Mwanamke mbinafsi always ni Goldigger, ana mkono wa kupokea tu ila sio wa kutoa😅😅😅 na ndio wanateseka sana wakikutana na wabishi kama mimi! Nitamfosi abadilike kama hawezi njia nyeupe
 
Back
Top Bottom