Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahahah “Chuma ulete Pro Max” nimeipenda hiiWenzako wanasemaga 'hela ya mwanamke ni ya mwanamke, ya mwanaume ni ya familia. Kwani hujui?
Kingine, hela ya babe ni tamu sana, sielewagi kwanini. Hivyo basi hata kama unajua ana zake msichoke kutupa. 😂
Cha mwisho huyo wako amezidi, ni chumaulete pro max. Mwambie tu hauko vizuri akikazania mwambie uliona balance yake.