Wanawake na mawazo mgando ya kuhudumiwa

Wanawake na mawazo mgando ya kuhudumiwa

yuda75

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
520
Reaction score
1,385
Habarini wadau,

Jamani dada zetu au wanawake siku hizi wamebadilika sana wengi wao wanawaza kupata mwanamme wa kumtimizia mahitaji yake haswa ya kimaisha. Wao wanawaza kupendeza na kuvaa vizuri kuliko kujishughulisha katika vitu vya maendeleo ndio chanzo cha kuangukia kuwa malaya na kujiuza kwani wanaume nao hatupo tayari kwa hilo zaidi tunawaza tupate wanawake ambao ni wake na mama watoto wetu.

Wadada huduma huja kwa kujihudumia
 
Jamani ni mawazo mgando au ni kitu kipo enzi na enzi, mwanamke ni pambo la nyumba anapaswa akae home ajipambe na wewe mwanaume ukatafute kwa jasho ulete nyumbani mtumie wote, lol

Mbona wanaume wa sasa mmekua waoga sana wa maisha na kuhudumia wanawake zenu ndio maana na nyie mmeamua muanze kujifananisha nao eeh, [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka San daaaah,
 
Narudia tena

Wazazi tengeni muda wa kuzungumza na watoto wenu wa kiume ili kuwajenga kuwa Wanaume hapo badae. Ona mpuuzi huyu, ulidhani uanaume ni kupiga picha tu na kupost instagram? Hata Maandiko Matakatifu hamyasomi!?
 
Jamani ni mawazo mgando au ni kitu kipo enzi na enzi, mwanamke ni pambo la nyumba anapaswa akae home ajipambe na wewe mwanaume ukatafute kwa jasho ulete nyumbani mtumie wote, lol

Mbona wanaume wa sasa mmekua waoga sana wa maisha na kuhudumia wanawake zenu ndio maana na nyie mmeamua muanze kujifananisha nao eeh, [emoji23]

We unahudumia wanawake zako??
 
Hela au huduma zenu huwa mnatoa kwa upendo na utashi wenu.
Ukiona unatoa huku unalalamika hapo ni tatizo.

Anyway kuna raia wamesema utafute hela huko juu na mie nakazia tafuta hela
 
Jamani ni mawazo mgando au ni kitu kipo enzi na enzi, mwanamke ni pambo la nyumba anapaswa akae home ajipambe na wewe mwanaume ukatafute kwa jasho ulete nyumbani mtumie wote, lol

Mbona wanaume wa sasa mmekua waoga sana wa maisha na kuhudumia wanawake zenu ndio maana na nyie mmeamua muanze kujifananisha nao eeh, [emoji23]
kama ni pambo kaeni kwenye kona ya nyumba kwa nje

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom