Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Mzee baba tutafute pesa hadi ziombe poo[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee baba tutafute pesa hadi ziombe poo[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Pesa ninazo nyingi, km vipi sema nikugawie.Mzee baba tutafute pesa hadi ziombe poo
Mpe mke wako au demu wako kama una demuPesa ninazo nyingi, km vipi sema nikugawie.
Mbona dada zetu wa kichaga ni wapambanaji sana. Huwezi kukuta wanadanga hata sekunde moja.
Uchagani hakuna hayo mambo uliyoyatajaUdangaji, wizi, uchawi, uzinzi nk. hauna kabila kila sehemu upo!!
Sasa ulivokua una ni quote kwan ulitakaje? Nkadhan unahitaji usaidiweMpe mke wako au demu wako kama una demu
Mke wako uneshampa ?Sasa ulivokua una ni quote kwan ulitakaje? Nkadhan unahitaji usaidiwe
Kwani alishawahi kuja kwako kulalamika hapewi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah jamaniii uzi wa mtu mwingne, yee anakomaa na coca as if alishaambiwa kuwa ana shida.Mke wako uneshampa ?
Hela au huduma zenu huwa mnatoa kwa upendo na utashi wenu.
Ukiona unatoa huku unalalamika hapo ni tatizo.
Anyway kuna raia wamesema utafute hela huko juu na mie nakazia tafuta hela
Sijui kwann ukiulizwa swali dogo tu, huwa hujibu badala yake unacharaza mistari mingine irrelevant.Kwani alishawahi kuja kwako kulalamika hapewi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah jamaniii uzi wa mtu mwingne, yee anakomaa na coca as if alishaambiwa kuwa ana shida.
Furahi sana tu usijibane baneUnajuaga kunifurahisha wee bas tyuuuh.
Nimekujibu vizuri tyuuuh, labda km huwa huelew au hupend unavojibiwa,Sijui kwann ukiulizwa swali dogo tu, huwa hujibu badala yake unacharaza mistari mingine irrelevant.
Haswaaaaah yaaan full burudaan.Furahi sana tu usijibane bane
Hahahaha pole babe kwa kuumia mbavu, hawa wanatakiwa kwenda nao hivyo hivyo ndio akili zinawakaa, [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi una nini wee dea, nimecheka kwa sauti hadi mbavu zinauma, afu nipo na watu lol
Kumbe na kiinglishi unajua, [emoji23]True best true ndio
Kuhudumia ni wajibu, ukipata anayejihudumia inabidi umshukuru.