Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
[emoji8][emoji8]Sijakusahau babe ndio maana nikasema wawili yaani wewe na mama nanihii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji8][emoji8]Sijakusahau babe ndio maana nikasema wawili yaani wewe na mama nanihii.
Mmoja mnene mrefu mweupe, mwingine mwembamba mfupi mweusi, nimebalance,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unachepuka?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ShenziMmoja mnene mrefu mweupe, mwingine mwembamba mfupi mweusi, nimebalance,
Lol
Ma Ustadh huwa hatuzingui. Na ndiyo tunao sifika kwa kuoa sana, huwa hatujivungi kabisa. Unataka zawadi hutaki ?Unazingua ustaadh
Kama huwezi kumhudumia mke wako unawezaje kujiita mwanaume?
Kuna kitu nimekumbuka. Unafaa kufunga mahesabu ya kuwa mke wa nne kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41][emoji41]Wewe unaishi sayari gani? Siku hizi wanaume wanaolewa ...
Mimi kiukweli nilisha sitisha,Hayo mawazo mgando ya wao kupenda/kutaka kuhudumiwa yatayeyuka baada ya nyie wanaume kusitisha huduma
Sasa sitisheni hizo huduma kama mnaweza
Sawa haina shida, sababu wanawake kwa wanawake hamdhuriani.Nitakua natembeza dozi kwa wake zako, kila ukiwatembelea wamechoka hawana hamu na wewe.
Hayo mawazo mgando ya wao kupenda/kutaka kuhudumiwa yatayeyuka baada ya nyie wanaume kusitisha huduma
Sasa sitisheni hizo huduma kama mnaweza
Habarini wadau,
Jamani dada zetu au wanawake siku hizi wamebadilika sana wengi wao wanawaza kupata mwanamme wa kumtimizia mahitaji yake haswa ya kimaisha. Wao wanawaza kupendeza na kuvaa vizuri kuliko kujishughulisha katika vitu vya maendeleo ndio chanzo cha kuangukia kuwa malaya na kujiuza kwani wanaume nao hatupo tayari kwa hilo zaidi tunawaza tupate wanawake ambao ni wake na mama watoto wetu.
Wadada huduma huja kwa kujihudumia
True best true ndioJamani ni mawazo mgando au ni kitu kipo enzi na enzi, mwanamke ni pambo la nyumba anapaswa akae home ajipambe na wewe mwanaume ukatafute kwa jasho ulete nyumbani mtumie wote, lol
Mbona wanaume wa sasa mmekua waoga sana wa maisha na kuhudumia wanawake zenu ndio maana na nyie mmeamua muanze kujifananisha nao eeh, [emoji23]
Nawakumbusha.
Enzi za mwanamke kuhudumiwa kila kitu zilikuwepo wakati huo mwanamke ni msaidizi wa mwanaume na sio mwanaharakati ndani ya nyumba, hakukuwa na habari za haki sawa.
Haya mambo ya wanaharakati yamekuja kuharibu vitu vingi mpaka wanaume washaona haki sawa iwe mpaka kwenye kujitafutia rizki, wanawake wamekuwa wahubiri wa haki sawa lakini kwenye kuhudumiwa hawataki iwe haki sawa.
Watangulizi wetu hawakuwa wajinga ndio maana hawakuweka haki sawa wala uanaharakati
Uko sahihi mkuu.Note: Wanaposema "HAKI SAWA" wanamaanisha kuondoa sheria zinazomkandamiza mtoto wa kike (ambazo kwa ujumla ziliishaondolewa), Shughuli ipo kwenye kudai usawa wa kijinsia (jambo hili haliwezekani mpaka mmoja afanyiwe upasuaji wa via vya uzazi ili viwe sawa na vya mwenzie). Btw Haya mambo Wanayaruhusu baadhi ya wanaume goigoi.
Ukiwa Mwanaume imara ndani ya nyumba yako kamwe mkeo hawezi kujiunga kwenye huu upuuzi wa jinsia sawa!!!
Unajuaga kunifurahisha wee bas tyuuuh.Si muda muamala wa imethibitishwa umeingia simuni kwangu,, pole mtoa mada maumivu yakizidi muone dokita
😂😂😂😂😂😂Narudia tena
Wazazi tengeni muda wa kuzungumza na watoto wenu wa kiume ili kuwajenga kuwa Wanaume hapo badae. Ona mpuuzi huyu, ulidhani uanaume ni kupiga picha tu na kupost instagram? Hata Maandiko Matakatifu hamyasomi!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi una nini wee dea, nimecheka kwa sauti hadi mbavu zinauma, afu nipo na watu lolNitakua natembeza dozi kwa wake zako, kila ukiwatembelea wamechoka hawana hamu na wewe.
Mbona dada zetu wa kichaga ni wapambanaji sana. Huwezi kukuta wanadanga hata sekunde moja.Habarini wadau,
Jamani dada zetu au wanawake siku hizi wamebadilika sana wengi wao wanawaza kupata mwanamme wa kumtimizia mahitaji yake haswa ya kimaisha. Wao wanawaza kupendeza na kuvaa vizuri kuliko kujishughulisha katika vitu vya maendeleo ndio chanzo cha kuangukia kuwa malaya na kujiuza kwani wanaume nao hatupo tayari kwa hilo zaidi tunawaza tupate wanawake ambao ni wake na mama watoto wetu.
Wadada huduma huja kwa kujihudumia