Wanawake na mawazo mgando ya kuhudumiwa

Wanawake na mawazo mgando ya kuhudumiwa

Mleza uzi sentensi ya mwisho andika

"Ambao wanajihudumia wenyewe ili kukidhi woga wetu wa maisha"
 
Jamani ni mawazo mgando au ni kitu kipo enzi na enzi, mwanamke ni pambo la nyumba anapaswa akae home ajipambe na wewe mwanaume ukatafute kwa jasho ulete nyumbani mtumie wote, lol

Mbona wanaume wa sasa mmekua waoga sana wa maisha na kuhudumia wanawake zenu ndio maana na nyie mmeamua muanze kujifananisha nao eeh, [emoji23]
Leo umenifurahisha sana mrembo. Nina zawadi yako.

Vijana wanatuaibisha sana siku hizi.

Asante sana kwa mchango mzuri bibie.
 
Leo umenifurahisha sana mrembo. Nina zawadi yako.

Vijana wanatuaibisha sana siku hizi.

Asante sana kwa mchango mzuri bibie.
Tuma kwa namba hii hiyo zawadi usije ukasahau bure, 1673962563
 
Tafuta pesa mzee, mwanamke hajaumbiwa shida.
Ukiona unalalamika ukimpatia pesa mwanamke jua bado una ubwabwa wa shingo.

. Wanaume sifa muhimu Sana ni kuhonga.
 
Jamani ni mawazo mgando au ni kitu kipo enzi na enzi, mwanamke ni pambo la nyumba anapaswa akae home ajipambe na wewe mwanaume ukatafute kwa jasho ulete nyumbani mtumie wote, lol

Mbona wanaume wa sasa mmekua waoga sana wa maisha na kuhudumia wanawake zenu ndio maana na nyie mmeamua muanze kujifananisha nao eeh, [emoji23]
Samahani we ni jinsia gani?
 
Back
Top Bottom