[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka San daaaah,Jamani ni mawazo mgando au ni kitu kipo enzi na enzi, mwanamke ni pambo la nyumba anapaswa akae home ajipambe na wewe mwanaume ukatafute kwa jasho ulete nyumbani mtumie wote, lol
Mbona wanaume wa sasa mmekua waoga sana wa maisha na kuhudumia wanawake zenu ndio maana na nyie mmeamua muanze kujifananisha nao eeh, [emoji23]
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Katafute pesa wewe
[emoji1]Wewe unaishi sayari gani? Siku hizi wanaume wanaolewa ...
Jamani ni mawazo mgando au ni kitu kipo enzi na enzi, mwanamke ni pambo la nyumba anapaswa akae home ajipambe na wewe mwanaume ukatafute kwa jasho ulete nyumbani mtumie wote, lol
Mbona wanaume wa sasa mmekua waoga sana wa maisha na kuhudumia wanawake zenu ndio maana na nyie mmeamua muanze kujifananisha nao eeh, [emoji23]
Mnoooo, lazima nihudumie ndio wajibu wangu, silalamiki wala sihuzuniki.We unahudumia wanawake zako??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka San daaaah,
kama ni pambo kaeni kwenye kona ya nyumba kwa njeJamani ni mawazo mgando au ni kitu kipo enzi na enzi, mwanamke ni pambo la nyumba anapaswa akae home ajipambe na wewe mwanaume ukatafute kwa jasho ulete nyumbani mtumie wote, lol
Mbona wanaume wa sasa mmekua waoga sana wa maisha na kuhudumia wanawake zenu ndio maana na nyie mmeamua muanze kujifananisha nao eeh, [emoji23]
Wako wangapi?Mnoooo, lazima nihudumie ndio wajibu wangu, silalamiki wala sihuzuniki.
Wawili tu.Wako wangapi?