Wanawake na mawazo mgando ya kuhudumiwa

Unazingua ustaadh
Ma Ustadh huwa hatuzingui. Na ndiyo tunao sifika kwa kuoa sana, huwa hatujivungi kabisa. Unataka zawadi hutaki ?

Kuna kitu nimekumbuka. Unafaa kufunga mahesabu ya kuwa mke wa nne kabisa.
 
Hayo mawazo mgando ya wao kupenda/kutaka kuhudumiwa yatayeyuka baada ya nyie wanaume kusitisha huduma

Sasa sitisheni hizo huduma kama mnaweza


Mwanamke kupenda/kusubiri kuhudumiwa na mumeo siyo mawazo mgando bali ndivyo inavyotakiwa. Mwanaume ni kiongozi wa familia na moja wapo ya wajibu wa kiongozi ni kuhakikisha jamii yake inapata huduma muhimu tena kwa wakati. Mwanamke ni msaidizi hivyo majukumu yake ya msingi akiwa kwako ni kukupikia, kukufulia, kukuliwaza, kukuzalia watoto ili kuendeleza ukoo wako nk.

Acha kutafuta visingizio vya kukwepa majukumu, wajibika Mama aishi kwa kuwa ni wajibu wetu (Wanaume), imetupasa tena ni haki.
 
True best true ndio
 
Nawakumbusha.
Enzi za mwanamke kuhudumiwa kila kitu zilikuwepo wakati huo mwanamke ni msaidizi wa mwanaume na sio mwanaharakati ndani ya nyumba, hakukuwa na habari za haki sawa.

Haya mambo ya wanaharakati yamekuja kuharibu vitu vingi mpaka wanaume washaona haki sawa iwe mpaka kwenye kujitafutia rizki, wanawake wamekuwa wahubiri wa haki sawa lakini kwenye kuhudumiwa hawataki iwe haki sawa.

Watangulizi wetu hawakuwa wajinga ndio maana hawakuweka haki sawa wala uanaharakati
 

Note: Wanaposema "HAKI SAWA" wanamaanisha kuondoa sheria zinazomkandamiza mtoto wa kike (ambazo kwa ujumla ziliishaondolewa), Shughuli ipo kwenye kudai usawa wa kijinsia (jambo hili haliwezekani mpaka mmoja afanyiwe upasuaji wa via vya uzazi ili viwe sawa na vya mwenzie). Btw Haya mambo Wanayaruhusu baadhi ya wanaume goigoi.

Ukiwa Mwanaume imara ndani ya nyumba yako kamwe mkeo hawezi kujiunga kwenye huu upuuzi wa jinsia sawa!!!
 
Uko sahihi mkuu.
Kwanza sijui kwanini wanawake wanalialia mara hiki mara kile ikiwa chance zote ziko open kwa jinsia zote.
Kama ni shule mitihani inalingana, kwenye kazi nafasi ziko sawa tena wanapendelewa, kwenye siasa wana nafasi maalum lakini bado wanaamini katika kuhudumiwa kila kitu ilihali wamekuwa mabingwa wa kuongoza uanaharakati kokote waendako.

Ukitaka Uhuru uchague kujitegemea[emoji23][emoji23]
 
Reactions: Cyb
Inaonekana baba yako naye alikuwa haudumii mama yako
 
Narudia tena

Wazazi tengeni muda wa kuzungumza na watoto wenu wa kiume ili kuwajenga kuwa Wanaume hapo badae. Ona mpuuzi huyu, ulidhani uanaume ni kupiga picha tu na kupost instagram? Hata Maandiko Matakatifu hamyasomi!?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nitakua natembeza dozi kwa wake zako, kila ukiwatembelea wamechoka hawana hamu na wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi una nini wee dea, nimecheka kwa sauti hadi mbavu zinauma, afu nipo na watu lol
 
Mbona dada zetu wa kichaga ni wapambanaji sana. Huwezi kukuta wanadanga hata sekunde moja.
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…